Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

Fantasies, hallucinations na experiences za mtu mmoja anayesadikiwa kuishi takriban miaka 1500 iliyopita, tena completely illiterate, ndiyo ziamue wewe, mwenye akili zako timamu, unayeishi 2022, uishi maisha ya aina gani dunia hii? Seriously?
 
Mbona akina nyinyi munaishi na hizo fantasies za mtu wa miaka zaidi ya elfu 2 iliyopita?
 
Wote ni matapeli tu, there is conflict of interest kwa waganga wa kienyeji wanaojiita matabibu
 
Aliye na ushahidi basi na auweke hadharani. Hata hivyo mada aliyozungumzia huyu Sheikh haihusiani na kudhalilisha wanawake, imehusu akina mama wanaokwenda kwenye maombi.
Nguvu zote hizo kumtetea Alhad?? LoL, yawezekana na wewe ni mhanga wa Shehe mlawiti, umeshaliwa
 
Fantasies, hallucinations na experiences za mtu mmoja anayesadikiwa kuishi takriban miaka 1500 iliyopita, tena completely illiterate, ndiyo ziamue wewe, mwenye akili zako timamu, unayeishi 2022, uishi maisha ya aina gani dunia hii? Seriously?
🤣🤣🤣 eti illiterate? Show them the way. Nashangaa sana wanakomaa na vitu vingine ambavyo haviendani na mazingira.

Tuna struggle kila siku ku-master mazingira tuliyonayo halafu kuna watu wanaturudisha nyuma
 
Baguzi sana..

#MaendeleoHayanaChama
 
Sheikh Alhad ameongea vizuri tena kwa lugha ya staha. Sana.Sasa huyu anayejiita Dr. Mwaka sijajua kwa nini ame 'react' kwa maneno makali ,machafu,yasiyo na staha na yanayodhalilisha.Mtu anayedai ana ushahidi wa faragha za watu ni mtu hatari hata katika jamii inayomzunguka kwa sababu faragha zao zipo hatarini.Mbona naona huyu Mwaka ametangaza vita ambayo itamgharimu hata kwenye biashara zake mwenyewe.
 
Sioni tatizo la Dr. Mwaka na kingine hakuna mkamilifu ko mashehe/wachungaji kama hujatajwa direct usi-panic kwa sababu hao watumishi wa hivyo wapo!
 
Kila mtu apambane na dini yake

Kama we ni mkiristo ombewa na mkiristo mwenzako kama wewe ni muislamu ombewa. Na mwislamu mwenzako

Hatutaki tena hizi vurugu na mchanganyano na vijembe vya chinichini
Umekosea mkuu, dini ni imani ya mtu naweza kuwa mkristo nikaona shekhe wa Dar anifaa sidhani kama utanizuia nisiende kwenye maubiri yake.
 
Ila naye sheikh wetu wa Dar sometime anakurupuka mambo mengine ni ya kuongelea msikitini au makanisani, awafunde waumini wake hukohuko, tena kuanzia madrasa.
 
Ndio maana nikasema huyu sheikh wetu anakurupuka kujibu maswali, umehoji vizuri mkuu.
 
Mmmh.. K jamani K
 
Dini zimeletwa lakin bado mamtu hayaelew yanagombana pumbaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…