Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 889
Hili la kumkamata nafikiri ndiyo Mwakyembe alikuwa analiomba kwa udi na uvumba, kwani kumkamata tu haitoshi jibu ni je wataweza kumhoji?, akikataa kuongea watakaa naye kwa muda gani?, watamfunga nyaya za umeme mpaka aongee?. Hii sasa ni starting point nzuri sana kwa wapiga vita ufisadi. Nadhani wakimkamata huyu bwana watakuwa wamefungua njia ya kumkamata EL, RA, Hosea et al. Otherwise watakuwa wamemtengeneza Mwakyembe kuwa Mandela wa Bongo.
That is my point exactly... Mwakyembe ... supastaa wa Bongo... kwikwikwi.....