Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blessings in disguise 😛😛😉
Peleka watoto shule acha wivu wa ki mamaInakusaidia nini sasa??
Ni dada wa mfalme wa mitandao ya kijamii Le mutuz akili kubwa the genius bahariaJee ni mtoto wa ex- PM Mzee Malecela?
Your wrong kabisa.... Mwale kuwambombezi hakumfanyi kuwa mkamilifu lazima tukubali alikosea sana tena sana kutangaza tanzania kuna Zika ....jiulize zika yake iliishia wapi?Jiwe walilolikataa waashi
Lemutuz kwa sasa ni mfanyabiashara wa kitabu (American experience) na mwekezaji (Lemutuz online TV) hivo "Kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake".
Ujumbe huu uwafikie wote waliohusika kumfitini dada wa watuZiwe baraka au laana za serikali, nani kakuuliza? Wewe haswa ndiye mchonganishi. Unadhani? No research, no right to speak. Hakuziitaji. Alikuwa Brazzaville kahamishiwa Geneva ndani ya WHO. Sawa, idara tofauti. Tangu mwanzo, kama ni mcheza mpira, alikuwa ni mchezaji huru. Timu yoyote ingemsajili. Kifaa hicho. Fahari ya Tanzania. Yusufu wa Biblia aliwambia nduguze kuwa mabaya waliyokusudia Mungu aliyageuza mema. Kuna jambo alitaka kusema kupitia waandishi wa habari. Hakulisema wakati huo. Nina uhakika kuna siku atalisema. Kabla yake Nape Nnauye alitishiwa bastola.Kuna watu wakisikia tu mtumishi wa umma katumbuliwa wanashangilia! Haijalishi wanamfahamu au la. Ana kosa au hana kosa haiwahusu. Na sio kwa sababu anaamini uadilifu wa mtumbuaji, la hasha. Sadists! Furaha yao tu. Nataka leo iwe huzuni yao. Kilio kabisa. Matanga. Wakome. Piga kazi Mwele, Bwana yu nawe!
Mpaka upigwe na radi, ndio utazinduka? Kukosa heshima kunakufanya utembee maiti. Mtaalamu mzamivu na mbobezi katika fani yake akiona kaona. Ukiwa unaangalia kwenye hadubini, ukaona kitu kikubwa kwa kutisha kama Zika, mwenyewe huamini. Utafuta macho. Huyaamini. Utaangalia tena na tena. Ukijiakikishia sio ndoto, utamwita jirani yako aangalie. Humwambii kuna nini. Akiangalia atakugeukia kwa mshangao. Naye ataangalia tena na tena. Kisha mtaangaliana. Mshangao! Kutangaza kitu kama Zika sio mchezo kama akili yako inavyokutuma. Kama ingekuwa si kweli kitaaluma alikuwa kajizika mwenyewe. Kuingia Wizara ya Afya kwenyewe angeona aibu. Kinyume chake kabisa, WHO wanamwona na kutambua ujuzi wake. Kule ubabaishaji na majungu mwiko. Kalagabaho na ....Huyu naye ni mchochezi tu, anatumika, ni lini Zika iliingia Geita?
Hongera sana mama hata Yusufu alipouzwa na ndugu zake kwa wamisiri alijihisi kuonewa na kunyanyaswa lakini kumbe Mungu alikuwa amemuandalia makuu na Siku ilipofika alikuja kuwa waziri mkuu nchini Misri na ndugu zake walikuja kumtii kama kiongozi wao!!View attachment 887830
Mama kawa bosi wa dunia siyo Afrika tena namaanisha dunia kwenye magonjwa ya MINYOO, MATENDE NA MABUSHA, KICHOCHO, USUBI, TRAKOMA, LEISHMANIASIS n.k n.k
Nani kamfitini? Ni kweli nchi ilikuwa na ZIKA? kama ni kweli hiyo zika imeishia wapi? Lazima tukubaliane alikosea tuuu.... kupata cheo kingine hakuprove kuwa hakukosea....Ujumbe huu uwafikie wote waliohusika kumfitini dada wa watu
Anayekosea anashushwa cheo au kufukuzwa kabisa. Unakosea unapandishwa cheo! What precedence? Yale ya kwenu ya vyeti feki kuchapa kazi unayapeleka WHO? Miaka mingapi kafanya kazi hapo NIMR! Kutoka chini kabisa kapanda hadi kuwa Mkurugenzi, bado unauliza viswali vya hovyo tu? Ulitaka ukutane na hiyo Zika Kariakoo? Kama inadhibitika ikadhibitiwa!Nani kamfitini? Ni kweli nchi ilikuwa na ZIKA? kama ni kweli hiyo zika imeishia wapi? Lazima tukubaliane alikosea tuuu.... kupata cheo kingine hakuprove kuwa hakukosea....
Wengi tu wapo! Nani alikukataza kuwaleta jamvini. Zipo njia nyingi za kumponda mtu. Unajifanya kumtetea. Umeeleweka.Hivi anayeula Tanzania kila mara huwa ni Dr. Mwele Malecela tu peke yake? Najiuliza hivi kama isingekuwa huyu Mwanamama ' Kutotumbuliwa ' na Rais JPM tungekuwa tunamzungumzia hivi kila mara huku tukitumia ' teuzi ' zake anazozipata huko Nje kama fimbo ya Kumnanga / Kumsema Magufuli?
Tusilazimishe kwamba kila Mtaalam basi lazima awe anafaa katika Uongozi fulani na tujifunze pia kuheshimu Maamuzi ya Mtu juu ya Mtu fulani. Mbona hamshangai katika Mpira wa Miguu unakuta Mchezaji fulani ni mahiri / mzuri kabisa ila akija tu Kocha mpya na kutokana na mfumo wake ataonekana hafai na ama atamweka benchi au ataamua auzwe kwakuwa atakuwa hamuhitaji.
Sina shida na huyu Mwanamama Dr. Mwele Malecela kwani ni Msomi mzuri tu na si Msomi tu pekee bali pia hata Kichwani ( Upstairs ) bado ametukuka ila nachukizwa na tabia za Kiswahili / Kimajungu ambazo nimekuwa nikiziona hasa pale akipata tu ' Wadhifa ' fulani Watu wataupokea katika mwelekeo wa Kumsema Rais Dr. Magufuli kwamba ameacha Mtu muhimu.
Tubadilikeni tafadhali na siku zingine muwe mnatuwekea na Watanzania wengine ' walioula ' Kimataifa kwani wapo wengi tu ' otherwise ' tutakuwa tunaiendeleza ile ile tabia ' zoeleka ' ya Watanzania ' Wanaharakati ' ya Unafiki!
Mkiambiwa pesa mtaani ngumu mnabisha, lakini uhalisia mnauishi kabisa...usitake tuharibiane siku.Nani kamfitini? Ni kweli nchi ilikuwa na ZIKA? kama ni kweli hiyo zika imeishia wapi? Lazima tukubaliane alikosea tuuu.... kupata cheo kingine hakuprove kuwa hakukosea....
Ndugu , hawa CCM wanashida sana. Hawapendi kuambiwa ukweli.Anayekosea anashushwa cheo au kufukuzwa kabisa. Unakosea unapandishwa cheo! What precedence? Yale ya kwenu ya vyeti feki kuchapa kazi unayapeleka WHO? Miaka mingapi kafanya kazi hapo NIMR! Kutoka chini kabisa kapanda hadi kuwa Mkurugenzi, bado unauliza viswali vya hovyo tu? Ulitaka ukutane na hiyo Zika Kariakoo? Kama inadhibitika ikadhibitiwa!
Huyu ni mtz mwenzetu anapopata mafanikio makubwa kiasi hicho Tanzania inaendelea kujitangaza huu niuzalendo tu ndounaotusumbuaHivi huwa mnafaidika nini kushangilia mtu asiyekujua wala kukufahamu akipata ulaji ambao ni kwa ajili yake na familia yake?
Binafsi sijawahi kulielewa hili!