Ni juhudi zake binafsi, ingekuwa rahisi kama unavyosema baraka za serikali leo Bashite angekuwa mmoja wa maofisa wa UN.ninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni juhudi zake binafsi, ingekuwa rahisi kama unavyosema baraka za serikali leo Bashite angekuwa mmoja wa maofisa wa UN.ninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Ndiye.pia ni mjinga anajiunga na mange kumdharirisha le kibamiaJee ni mtoto wa ex- PM Mzee Malecela?
Halafu kila anayegombana naye huwa anabarikiwa , hii maana yake nini ?Sawa. Sijui mzee yule anayetaka tuoe wake lukuki anajisikiaje akiona haya "majambo"!!
umeandika jambo zito sana !Ni juhudi zake binafsi, ingekuwa rahisi kama unavyosema baraka za serikali leo Bashite angekuwa mmoja wa ofisa wa UN.
Mkuu kama ingekuwa ni baraka za serikali ndizo zinamfanya mtu uteuliwe WHO, hivi kweli serikali ingeacha kumbariki Bashite ikambariki Dr. Mwele.umeandika jambo zito sana !
Hiv wewe kuwepo kwako dunian kunatusaidia nn wengine, mtu akikwambia si bora ukafa !!? ila mtu akifikia mawazo kama yako jua yuko ukingoni.Bado unaishi kwa matukio?? Hiyo nafasi ndio itakujengea reli, itakujengea barabara, itakuletea dreamliner, itakununulia vivuko..ifike mahali mpunguze mihemko ya kisiasa..nipe mafanikio ya nchi asharose migiro alipokuwa deputy general UN..
Kwan wewe umewashwa na nn kuja hapa kwann haukupita hivihiv??Hivi huwa mnafaidika nini kushangilia mtu asiyekujua wala kukufahamu akipata ulaji ambao ni kwa ajili yake na familia yake?
Binafsi sijawahi kulielewa hili!
Wewe utakuwa Jiwe mwenyeweInakusaidia nini sasa??
Wewe makonda anakujua mbona kutwa kumteteaHivi huwa mnafaidika nini kushangilia mtu asiyekujua wala kukufahamu akipata ulaji ambao ni kwa ajili yake na familia yake?
Binafsi sijawahi kulielewa hili!
Esopo..!Inasaidia kuitambulisha nchi kimataifa na kuthamini uwezo binafsi wa mhusika kuwa kweli ni msomi siyo sawa na madokta fake wanaopenda kuitwa Dr wakati ni makurume kenge tu!
Si ana ndugu yake huku..Bado unaishi kwa matukio?? Hiyo nafasi ndio itakujengea reli, itakujengea barabara, itakuletea dreamliner, itakununulia vivuko..ifike mahali mpunguze mihemko ya kisiasa..nipe mafanikio ya nchi asharose migiro alipokuwa deputy general UN..
Si huyu mama aliondolewa apishe wenye Phd?Dr Mwele has been appointed the Director of Control of Neglected Tropical Disease at WHO (Duty station: Headquarters, Geneva).
Dr Mwele was previously Director in the Office of the Regional Director for the Africa Region (Duty station: Brazaville, Congo). Before she joined WHO, she served as the Director General for the National Institute for Medical Research (NIMR) in Tanzania.
She is the first woman to hold this position.
She is also director of the Tanzania Lymphatic Filariasis Elimination Program. Dr. Malecela holds a Bsc in zoology from the University of Dar es Salaam and an Msc and PhD in parasitology from the University of London (London School of Hygiene and Tropical Medicine). She specialized in filarial immunology, specifically on filarial immune evasion mechanisms.
Dr. Malecela has worked at the National Institute for Medical Research for 24 years, where she started off as a junior scientist. As director general, she has focused on institutional strengthening, research capacity building, and the translation of research into action, policy and practice.
Dr. Malecela has been in the forefront of priority setting for health research activities in Tanzania where she facilitated the Tanzania National Health Research Priority Setting process in 1999 and revision of these priorities in 2005.
Dr. Malecela chairs the Medical Research Coordinating Committee (MRCC), which is the main body responsible for oversight of health research in the country. She has served on a number of international committees including the Technical Advisory Group of the Global Program to Eliminate Lymphatic Filariasis, the Mectizan Expert Committee and the advisory board of the Initiative on Public/Private Partnerships in Health (IPPPH).
Dr. Malecela is currently a member of the WHO Strategic and Technical Advisory Committee for Neglected Tropical Diseases and a member of the Medicine in Need Steering Committee on Innovation, Alliance and Translation Management (MITAM).
Dr. Malecela is also on the International Advisory Board of Grand Challenges Canada. She is an adjunct faculty member of the Public Health Sciences Institute of Morehouse College. Dr. Malecela was president of the Global Alliance to Eliminate Lymphatic Filariasis and chair of the representative contact group of the Alliance.
She has also been involved in a number of philanthropic organizations, chairing the Tanzania Chapter of the African Reflections Foundation and is on the advisory board of the Lake Tanganyika Floating Health Clinic.
Dr. Malecela is patron and Founder of the IMANI Group, which is a support group of people living with HIV/AIDS.
=======
Kwa wazungumza Kiswahili:
Hongera sana, Dr Mwele....
Ilishakutokea..[emoji41]napata ban kwa habari za kukera kama hvi arghhh poa tu...!usisikie period ya ghafla mkuu...lol
Jiwe anazidi kuaibika!ninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Anatumia utaalam wake bila kuingiliwa na wanasiasa!atulie sasa aachane na mambo ya kutangaza outbreaks za magonjwa nje ya utaratibu.
Hongera zake sana!
Salaam tosha kwa waziri wa Afya Ummy na wengine waliomfitini.Sipati picha nanii anajisikiaje