Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine

[HASHTAG]#hyumani[/HASHTAG] fesi
 
Huyu ana uhusiano na john malecela???
 
Pascal Mayalla
Ruttashobolwa
cocochanel
[emoji196] [emoji196] [emoji218]
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa mtafiti, na kuwa kiongozi

Maybe Mwele alikua researcher mzuri sana lakini hakua na same qualities kama kiongoxzi wa institution
"maybe" = sarakasi
 
Tuzo yake haihusiani na uwajibikaji kwa principle za ngosha...ukizingua unatemwa kama kawa haijalishi una tuzo ya trump...hapa kazi tuuu
 
Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake. Hongera sana kwa juhudi zako the sky should be your limit.

Dikteta uchwara anaona aibu.

Tatizo ni kwamba yeye mwenyewe ni majanga tu! Mwizi, muongo, fisadi, utendaji ZERO. Kule China siku nyingi wangekuwa wameshamchapa risasi kwa ufisadi wake. Hapa kwetu wamemkingia vifua hatimaye wamemsukumizia Ikulu.

Tuzo yake haihusiani na uwajibikaji kwa principle za ngosha...ukizingua unatemwa kama kawa haijalishi una tuzo ya trump...hapa kazi tuuu
 
Tatizo ni kwamba yeye mwenyewe ni majanga tu! Mwizi, muongo, fisadi, utendaji ZERO. Kule China siku nyingi wangekuwa wameshamchapa risasi kwa ufisadi wake. Hapa kwetu wamemkingia vifua hatimaye wamemsukumizia Ikulu.

Sawa...ila jamaa anakubalika sana kwa wananchi...inawezekana akapita bila kupingwa 2020....!![/QUOTE]
 
Naniliu za naniliu zao, jiwe walilolikataa waashi saivi linagewa matuzo tu.
Habari gani bashite kipendaroho
Mafanikio hayapimwi kwa elimu uliyo nayo ila hupimwa kwa mali uliyo nayo...kwa hili bashite yupo front line dhidi ya Mwele....Pesa na iheshimiwe
na watu wote
 
Wananchi wasiojitambua kwa wanaojitambua machale yameshawacheza. Na ukiona makombora yanarushwa toka ndani ya MACCM dhidi ya huyu wanajua walibugi. Kinana, Butiku, Msekwa, Makinda, Warioba, Mwinyi na Kikwete wote wamerusha makombora na nadhani kuna wengi tu watafanya hivyo siku za usoni kama mwelekeo wa nchi bado ni madudu matupu.

Sawa...ila jamaa anakubalika sana kwa wananchi...inawezekana akapita bila kupingwa 2020....!!
[/QUOTE]
 
Tatizo ni kwamba yeye mwenyewe ni majanga tu! Mwizi, muongo, fisadi, utendaji ZERO. Kule China siku nyingi wangekuwa wameshamchapa risasi kwa ufisadi wake. Hapa kwetu wamemkingia vifua hatimaye wamemsukumizia Ikulu.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mkuu ukiona gari yoyote nyeupe inapita barabani nipigie simu uniage kabisa . Nitakumiss sana
 
[]Sigara Kali Hujaona ... si umalizie

Embu jiheshimu.. huyu Mama mimi namuheshimu. So usifikiri nitaandika utumbo kama ninyi
 
Yule kijakazi wa Sizo aliewekwa wizarani(Afya) anajisikiaje?? Wivu wa kike akamchongea mwanamke mwenzake utadhani wanagombea bwana!!! Angejua mwenzake sasa anatamba bila wasi kusikiliza kila taarifa habari au kujidhalilisha kuvuliwa.......ili uendelee kuwemo! Shame!!! Wengine wana vaaa maternity gown sasa,!! Ili hali wake za watu!! Kisa vyeooo shameeeee
 
Viva Mwele, gap lako NIMR tutalikumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…