Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zika iko wapi sasa? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeniHongera yake poleni CCM na wanafiki wenzenu
Huyu alitolewa sababu ya kusema Tanzania kuna zika. Huo ugonjwa uko wapi sasa?Jiwe walilolikataa waashi ndio limewekwa kwenye muimo wa Ikulu.
Sio mama mmoja, mama yao dr. akipandisha madarasa pia. Ni kati ya wake wanawake wakiopata kusoma Loleza Girls enzi za mkoloni...huyu ndio dadaye na Lejingaz ?
Masikini dadaetu hukumuachia hata akili kiduchu kubwajinga lembebez from Lumumbaz ?
Ni kweli... na mfumo wa UN una taratibu zake... Bahati nzuri kule alipo, she is doing more of research kuliko kucheza na siasa za uongozi na utawala wa kitanzaniaNi Mkurugenzi wa WHO Africa
Unajua mfumo wa kuiungozi wa nchi kama Tanzania na tofauti yake na UN systems?unajua saa hv anashikilia position gan???
au na ww ulikua unawahi kucomment??
Ha ha hahaaaa"maybe" = sarakasi
Nilidhani ni mimi tu ndio huwa simuelewi, kumbe tupo wengi mkuuHuwa unaandika nini wewe mtu?
Hongera kwake
Kuwemo nchini na kuzingirwa na ya siasa..
Halafu kule analipwa dolaz nyingi sana,sio huku milioni 5 masimango kibaoNi kweli... na mfumo wa UN una taratibu zake... Bahati nzuri kule alipo, she is doing more of research kuliko kucheza na siasa za uongozi na utawala wa kitanzania
Scenarios ni mbili tofauti ingawa kote kuna bureaucracies zake
Hizo tuzo nizakutafta kiki, kupata mia na plactical nitofauti mkuu usiogope
watch it......😡Halafu kule analipwa dolaz nyingi sana,sio huku milioni 5 masimango kibao
Analipwa ili aandike, huwa watu wa namna hii Tanzania wako wengiHuwa unaandika nini wewe mtu?
Nilidhani ni mimi tu ndio huwa simuelewi, kumbe tupo wengi mkuu
Hongera sana Dr Mwele. Jiwe lililowashinda Waashi limekuwa jiwe la pembe. Go go go Dr Mwele Go !!!View attachment 625580
Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine kwa mchango wake mkubwa katika kutokomeza magonjwa ya Nchi za kitropic.
Kabla yakuwa mkurugenzi kwenye ofisi za WHO/AFRO Dr Mwele Ntuli Malecela alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa Nchini kabla hajafukuzwa kazi na Rais