petro pilla Makondo
New Member
- Oct 12, 2017
- 4
- 2
Hongera kufukuzwa kazi si kuondoa riziki na karama uliyopewa na mungu vyote unaondoka navyo,bado utakuwa ni wewe kama mungu alivyokupangia,utampiga teke chura ........View attachment 625580
Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine kwa mchango wake mkubwa katika kutokomeza magonjwa ya Nchi za kitropic.
Kabla yakuwa mkurugenzi kwenye ofisi za WHO/AFRO Dr Mwele Ntuli Malecela alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa Nchini kabla hajafukuzwa kazi na Rais