Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine

Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine

Sasa hivi atajitokeza Jenny Muuno na kuhoji "hiyo Liverpool kwani iko nafasi ya ngapi...?" My dear Jenny, ni University of Liverpool sio Liverfool FC
 
Huyu hakusoma kwa tafiti za maganda ya korosho.. We gonna remember her.
 
Mama wa dengue fake. Hii haiondoi ukweli kuwa alipotosha.
 
Tatizo ni kwamba yeye mwenyewe ni majanga tu! Mwizi, muongo, fisadi, utendaji ZERO. Kule China siku nyingi wangekuwa wameshamchapa risasi kwa ufisadi wake. Hapa kwetu wamemkingia vifua hatimaye wamemsukumizia Ikulu.
The problem was ccm now the problem has given birth to a bigger problem magufuli sjui nimalizie ..........
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongera zake, ila isiwe sababu akikosea aachwe tu, itamsaidia yeye na familia yake, anaweza kurudi ulingoni kama ataelewa sababu iliyomuondoa, otherwise hata kama uwe "Einstein" kama hufuati maelekezo ya maboss wako utakuwa unafukuzwa kazi kila kukicha..
 
Dah! Huyu mama alinangwa sanaaaa na Serikali lakini alichokisema kina ukweli ndani yake.......ewee mwenyezi mungu mwongoze kiumbe wako..Amina
 
Nimeona clip mtandaoni Hiyumani fesi akimkemea mama mmoja, Yule mama anajiamini kweli kweli
na kashamtumbua ....................... ila utashangaa anaweza kuweka mtu wa ajabuajabu sana
 
kuna walio kuwa na elimu kubwa na ufaulu mzuri lakini utendaji hamna kitu... tuzo sio kigezo cha utendaji... kuna walio na elimu ndogo ya darasa la saba lakini wana uwezo wakufanya makubwa Mf. wale walio thubutu kutengeneza ndege kwa vifaa duni... magari nk... lakini wangekuwa ktk sehemu yenye technology nzuri zaidi wangeweza kuwa mbali mno... au wasingeweza kufika popote
 
View attachment 625580

Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine kwa mchango wake mkubwa katika kutokomeza magonjwa ya Nchi za kitropic.

Kabla yakuwa mkurugenzi kwenye ofisi za WHO/AFRO Dr Mwele Ntuli Malecela alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa Nchini kabla hajafukuzwa kazi na Rais
Safi sana. Wazungu wanajua umuhimu wa mtu katika jamii ila sisi waswahili tunajua siasa tu. Pongezi kwako dada Le Mutuz.
 
Eeeeh

Wewe mdakiaji.. ona unamuunfa mkono mtu ambaye ninapambana naye kwenye itikadi zetu.. anajua nondo zangu hivyo nimemzoea yeye uponda kila langu.. anajaribu kunipondea nondo zinazomchoma haswa.
Kama ni mpambano wa ndondi tayari ushapigwa TKO..
 
Bila shaka lile jitu lenye roho mbaya sasa hivi litakuwa linajisikia vibaya sana.[emoji126]
 
Back
Top Bottom