Dr. Myles Munroe

Mafundosho yake yalieleweka sana!
Alitimiza kusudi lake la kuwepo kwake Duniani ipasavyo.
 
Ndio jamaa Ana mafundisho nadhani katika wabongo wanamsikiliza Sana mimi nipo

Lakini mkuu kifo chake hakikua mpango wa Mungu we ungeishia pale juu tu [emoji23][emoji23][emoji23], mtu Afe kwa ajali ya ndege useme mpango wa Mungu

I love this man, his philosophical antiques sio za nchi hii
 
Alifariki baada ya ndenge yake binafsi kugonga Winchi (crane ) akiwa anatua kwenye uwanja wa ndege.
 
Baada ya kumfatilia nilihisi wenye upinde wao wamemrestisha in peace mana huwa hawapendi watu kuponda mambo yao waziwazi
 
UKITAKA KUWA BORA, FUATIA MASOMO YA HUYU MWAMBA. BABA WA WALIMU WA SAIKOLOJIA
 
Huyu mwamba alikufa yeye na mke wake kwenye ajali ya ndege huko Bahamas 2014.
Ndege iligonga crane kwenye eneo la maegesho ya meli wakati inatua.

Sidhani kwamba hicho kifo kilikuwa na mkono wa mtu.


Kama sio mkono wa mtu kilikuwa mkono wa nanii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…