Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
Dah! Pigo sanaAlikufa yeye na young pastors tisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Pigo sanaAlikufa yeye na young pastors tisa!
Alifariki baada ya ndenge yake binafsi kugonga Winchi (crane ) akiwa anatua kwenye uwanja wa ndege.View attachment 2588545
Kuna wakati hapa niliweka mada kuhusu huyu binadamu wa ajabu. Mtu usipomfuatilia utamwona wa kawaida sana, ila ukianza kumsikiliza utagundua ana mambo mengi. Dr. Myles hata alipokuja Tanzania nilibaki kumsikia tu na kuona mabango yake na kupotezea. Nillipokuja kuanza kumfuatilia youtube na vitabu vyake ndio nikaona kwa kweli niko shallow sana kidunia na kiroho. Sijajua watu kama hawa wanapataje ufunuo mkubwa hivi.
Mada ambayo sikujua iliishia wapi nilijaribu kuuliza ilikuwaje akafa? Kweli kifo chake kilikuwa ni wito wa Mungu au ni matakwa ya binadamu? Kuna watu hujiulizi mara mbili kuwasikiliza na kuwafuatilia. Apumzike kwa amani
UKITAKA KUWA BORA, FUATIA MASOMO YA HUYU MWAMBA. BABA WA WALIMU WA SAIKOLOJIAView attachment 2588545
Kuna wakati hapa niliweka mada kuhusu huyu binadamu wa ajabu. Mtu usipomfuatilia utamwona wa kawaida sana, ila ukianza kumsikiliza utagundua ana mambo mengi. Dr. Myles hata alipokuja Tanzania nilibaki kumsikia tu na kuona mabango yake na kupotezea. Nillipokuja kuanza kumfuatilia youtube na vitabu vyake ndio nikaona kwa kweli niko shallow sana kidunia na kiroho. Sijajua watu kama hawa wanapataje ufunuo mkubwa hivi.
Mada ambayo sikujua iliishia wapi nilijaribu kuuliza ilikuwaje akafa? Kweli kifo chake kilikuwa ni wito wa Mungu au ni matakwa ya binadamu? Kuna watu hujiulizi mara mbili kuwasikiliza na kuwafuatilia. Apumzike kwa amani
Sana tu. Katika moja ya semina zake nikamwona TD Jakes nae katulia (mbele lakini) anasikilizaUKITAKA KUWA BORA, FUATIA MASOMO YA HUYU MWAMBA. BABA WA WALIMU WA SAIKOLOJIA
Huyu mwamba alikufa yeye na mke wake kwenye ajali ya ndege huko Bahamas 2014.
Ndege iligonga crane kwenye eneo la maegesho ya meli wakati inatua.
Sidhani kwamba hicho kifo kilikuwa na mkono wa mtu.