Nchi imesimama ?Hii safari ilikuwa na umuhimu kuliko uhai wa watanganyika?
Kw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi imesimama ?Hii safari ilikuwa na umuhimu kuliko uhai wa watanganyika?
Kw
Sawa Chawa kiziwiMungu Ibariki Tanzania licha ya Nyumbu kua na Mihemko 🐒
Mwenyezi Mungu ajalie utulivu hata Chadema nao wawe wamoja kuliko kugawanyika kama ilivyosasa, eti kuna Chadema ya Lisu, Lema na kigaila, Mrema na Mbowe na John Mnyika, Wenje na Heche 🐒Sawa Chawa kiziwi
Hao nimewataja au umewataja? Chawa unachawia mpaka watu wasiokuhusu?Mwenyezi Mungu ajalie utulivu hata Chadema nao wawe wamoja kuliko kugawanyika kama ilivyosasa, eti kuna Chadema ya Lisu, Lema na kigaila, Mrema na Mbowe na John Mnyika, Wenje na Heche 🐒
Samahani sana gentleman kwa kukustua kwa ukweli huo,Hao nimewataja au umewataja? Chawa unachawia mpaka watu wasiokuhusu?
Chawa umehama reli mara hiiSamahani sana gentleman kwa kukustua kwa ukweli huo,
Mungu aijalie umoja ndani ya Chadema 🐒
Watu wanapoteza maisha mpuuzi analeta siasa unataka chama kiombwe msaada na hali mna macho mnaona leteni whinch clain za bandari ongeza exctor za kupangua vifusi sio unatwambi chamaSalaam za Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi:
1. Shukrani Kwa Wananchi kwani Wao ndio walikuwa wa kwanza kufika na kuanza Uokoaji
2. Shukrani Kwa Vyombo vyote vya uokozi vinavyoendelea na kazi ya uokozi
3. Shukrani Kwa Waziri Lukuvi Kwa kusimamia zoezi muda wote Bila kuchoka
4. Shukrani Kwa RC Chalamila ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi Kwa kazi kubwa
5. Shukrani Kwa Watendaji wote wanaendelea na Uokoaji
6. Shukrani Kwa Watanzania wote Kwa michango yao mbalimbali, Dua zao na Sala zao Ili Mungu wa mbinguni atufanyie Wepesi kwenye zoezi hili
Dr Nchimbi amesema Chama Kiko tayari kutoa msaada wa aina yoyote inayohitajika Ili kuipa Wepesi Serikali yake katika zoezi hili
Ahsanteni sana
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
===============
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Emmanuel Nchimbi amevishukuru vyombo mbalimbali vya uokozi Kariakoo kwa namna vilivyopambana kuhakikisha maisha ya Watanzania waliokwama chini baada ya ghorofa kuporomoka, yanaokolewa na ametaka kasi zaidi ya uokozi iendelee ili wale waliosalia watoke salama.
Dkt. Nchimbi ameyasema hayo leo November 17,2024 alipofika eneo la tukio Kariakoo na kutoa pole kwa Familia zilizopoteza Wapendwa wao na wale waliojeruhiwa na kuwaombea wapone haraka pia amewashukuru Watanzania walioanza zoezi la uokozi baada ya maafa kutokea na ameipongeza Serikali ya CCM na timu mbalimbali zinazoendelea kuchukua hatua mbalimbali za uokoaji.
Credit: Ayo
Huyu ndio Kiongozi 🐼
No gentleman,Chawa umehama reli mara hii
Ushajitoa Ubongo haujui Serikali hio hio ipo ndani ya .....Yaani serikali inazidiwa uchumi na ccm?
Chawa mpambeNo gentleman,
ni katika kushauri na kurejesha chadema kiungane tena kiwe kimoja ili hatimae huenda wakapata moyo na wakaona umuhimu wa kuja kutoa faraja kwa waTanzania, kama ambavyo CCM wametangulia kufanya kwa niaba ya waTanzania wote.
Au nimesema vibaya ndrugu zango wadau?🐒
Nyumbu na kukata pumzi ni maadui ee dah 🐒Chawa mpambe
Siongozwi na Wapumbavu!Nmekurekebisha tu ukumbuke unaongozwa na katiba ya Chama gani? Usijitoe Ubongo
Unaishi Nchi gani kwa sasa?Siongozwi na Wapumbavu!