Comrade umeongea mambo ya maana sana asante sana mwenye kusoma na akaelewe hii hoja yakoduocore kama anatenda na kufanya haki ,hana haja ya kupumzika.Sababu yeye ni kiongozi wa watunga mtihani na wasahihishaji.Ila mwenye dhamana kubwa ni waziri,naibu waziri na katibu wa elimu wanaojua hali halisi ya walimu wetu,na shule zetu.
Zamani mzazi wa mtoto alikuwa anapigania mtoto wake aende shule za serikali kwa kuwa na walimu wengi na wazuri lakini leo ni tofauti.
Watanzania kwa umoja wetu tupiganie haki za walimu ili watoto wa taifa hili wapate elimu bora na si bora elimu.Tuanze sasa tukisubiri tutakutana na jua la asubuhi.