Nauliza ni kweli suruali inasababisha sprinkler? Otherwise nakubaliana na wewe kuwa 'maji ni uhai".
hakuna cha sprinkler
otherwise wasingetengeneza suruali za kike dear.
huyo alikosa tu cha kusema dear
Basi jana nikamsikiliza Dr. Ndodi, mwenye hospitali yake Itumbi Hoteli, kupitia Channel 5. Akafundisha mengi na kumalizia na yafuatayo:
1. Kwa kawaida protein/wanga ya/wa ziada husababisha vitambi kwa kina baba na maumbo makubwa(hasa makalio na mapaja) kwa kina mama. Kwa kuwa wanawake wakivaa suruali wanabana makalio na mapaja, hivyo protini/wanga ya/wa ziada hutaifadhiwa matumboni na hivyo kusababisha wanawake kuwa na vitambi.
2. Mbali na vitambi, kuvaa suruali husababisha ongezeko la maji "ikulu".
Mie nimelileta ili nipate kujuzwa kama kuna ukweli wowote juu ya madai haya.
Lakini si hata sigara imeandikwa ni hatari kwa afya yako lakini viwanda vinaendelea kutengeneza na watu wanavuta bila hofu?
tapeli hilo hahahahahahaha,sasa kama unaishi maeneo ya baridi kali utavaa nini jamani:coffee:
inawezekana ikawa ukweli au uwongo,maelezo ya kina yanahitajika kusuport ama kutosuport hizo theories zake....:twitch:
labda kweli....
wanawake wengi wanaopenda kuvaa suruali za kubana...
wanakuwa hwana wowowo....na wanakuwa na kitambi....
could be
Basi jana nikamsikiliza Dr. Ndodi, mwenye hospitali yake Itumbi Hoteli, kupitia Channel 5. Akafundisha mengi na kumalizia na yafuatayo:
1. Kwa kawaida protein/wanga ya/wa ziada husababisha vitambi kwa kina baba na maumbo makubwa(hasa makalio na mapaja) kwa kina mama. Kwa kuwa wanawake wakivaa suruali wanabana makalio na mapaja, hivyo protini/wanga ya/wa ziada hutaifadhiwa matumboni na hivyo kusababisha wanawake kuwa na vitambi.
2. Mbali na vitambi, kuvaa suruali husababishaongezeko la maji "ikulu".
Mie nimelileta ili nipate kujuzwa kama kuna ukweli wowote juu ya madai haya.[/QUOT
alaaaaaaaaaa kumbeeeeeeeeeee
kama hayapo yajaHilo la maji sikubaliani nalo. Ingekuwa ni hivyo basi mi ningekuwa naogelea kila siku.
ni kweli dear
lakini parket ya sigara ina maonyo kwenye ganda.
na surualie tuna vaa si ajili ya fashion tu kikazi pia.
sigara ni chaguo la mtu
lakini suruali saa nyingine ni must.
Not a must. Kuna wanawake wamepata vitukuu na hawajawahi vaa suruali. Sorry, ila sipingi uvaaji suruali.