Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewasoma saana embu chukueni kubwa juuuuuu!(bg up) vp hwk kwa dar nitapata kwa nani? Na ina bei gani? Je pale city phone au kwa naeem wanazo?au kwa mwesigwa kule posta?
dr.phone mimi nina n95 8gb ambayo iko locked to orange uk unaweza ukaniambia how naweza ku unlock simu yangu
I can provide you with unlocking codes but not free. Imefungwa na network provider gani?hyo ni sp-code inafunguliwa kama unabox na software naweza kukuelekeza ufanye mwenyewe
I can provide you with unlocking codes but not free. Imefungwa na network provider gani?
Nashkuru saaana kiongozi kwa ushirikiano wenu.
Mkuu najua hujashindwa kumpatia option ya Pay. ila ulimpatia option ya kuwa na Interface na mimi nikaona niunganishe na option ya online unlocking thru codes. nafkiri atawewe unafungua simu za sl3 kunakitu kinaitwa Pay ili upate codes. Na atakuja mwingine hapa na option ambayo hatujaitaja, mwisho wa siku ni huyo Zolong1 atachaguwa nini kinamfaa zaidi. But your option is excellent maana unampa na maelekezo. kama kuna neno zaidi ya excellent basi nigekupa hilo neno. coz wengine wanakuambia AT YOUR OWN RISKmkuu sio mimi nimeshindwa kumwambia mambo ya credit ukimtajia dola anaweza asikuelewe
Mkuu najua hujashindwa kumpatia option ya Pay. ila ulimpatia option ya kuwa na Interface na mimi nikaona niunganishe na option ya online unlocking thru codes. nafkiri atawewe unafungua simu za sl3 kunakitu kinaitwa Pay ili upate codes. Na atakuja mwingine hapa na option ambayo hatujaitaja, mwisho wa siku ni huyo Zolong1 atachaguwa nini kinamfaa zaidi. But your option is excellent maana unampa na maelekezo. kama kuna neno zaidi ya excellent basi nigekupa hilo neno. coz wengine wanakuambia AT YOUR OWN RISK
1. Interface + software with full free support from Dr Phone
2. Server + client software / or buy codes from the operator
3.
4.
Kiongozi Katika net ya 4ne mbona sioni option ya thanx?
nikweli kwenye 4ne option hyo inakuwa akuna
i think i preffer option ya codes kwasababu nina data that i can't loose
Kwenye cm mbona ipo nenda juu kabisa kwenye profile yako kuna PC Mode click hapa watakuletea ukurasa mkubwa!
dr.phone mimi nina n95 8gb ambayo iko locked to orange uk unaweza ukaniambia how naweza ku unlock simu yangu