Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5



Sibonike;

Well said.
Hata hivo haiwezekani watu karibia milioni 10 wote wakawa na udhuru wa kibiashara au dharura za kifamilia achilia wale walioitwa kwenda mbele ya haki. Hatuna death rate ya mamilioni au malaki kwa kipindi kifupi kiasi hicho ukiangalia zoezi la BVR lilichukua muda gani.

Pengine idadi kubwa iliyoathirika kwa kukosa kupiga kura ni ya Wanafunzi wa vyuo Vikuu walionyimwa haki hiyo maksudi na NEC ili kupunguza kura za Wanamabadiliko ambao wengi walikuwa ni vijana hasa kutoka vyuo Vikuu na vya Kati.

Lakini pia takwimu za NEC kuhusu idadi halisi ya Wapiga kura zinahitaji uhakiki wa hali ya juu kupata idadi halisi.
 
Kweli hujitambui ina maana hujui hata wale wagombea wengine nao wapegawana kura zilizobaki
 
Huyu ndiye Rais Mteule wa Tanzania aliyechaguliwa na watu milioni 8.8 kati ya watanznia milioni 48 including watoto wetu.

Kazi kwetu watanzania

Kwa nini bibi yako hakupiga kuwa?

CCM mbele kwa Mbeleeeeeeeeeeeeeeee
 

Kaka natabiri 2020 watapiga kura watu wachache kuliko uchaguzi wowote mwingine tangi 95. Watu wamevunjika moyo vibaya mno si siri. Mie mwenyewe sioni ni kwanini nikasimame kwenye foleni juani kwa masaa 6 kupiga kura. Mwaka huu ndio ulikua wa kwanza kupiga kura na inawezekana ukawa wa mwisho.
 
Upinzani haukujipanga kuleta Raisi ambaye anaweza kuiondoa CCM, tuache tu ushabiki angekuwa mtu ambaye hana doa upinzani ungeshindwa..watu walikuwa wanafuata mkumbo ila kwenye kura wanachagua CCM maana hawaoni sera,,,hamna campaign za nguvu, visingizio vya mic, mafuriko feki ,,, so hawakuwa tu tayari kuchukua nchi.....Hongera CCM kwa kujipanga na kutupata Raisi bora atakayeleta mabadiliko...kwa kumchagua tu Magufuli ni mabadiliko tosha katika mfumo mzima wa CCM
 
Hii ndio tanzania.
Wajinga wameridhika na ujinga wao.
 
Mpayukka mada una akili ndogo kama mkia wa Sungura. CCM haijashinda. Tuna matokeo ya kweli yaliyopigwa picha vizuri sana na wazalendo wa nchi hii. Subiri uone.
 

CDM ni chafu kuliko CCM. Ni kwa sababu hawana madaraka hamtawajua. Dr. Slaa tu ndiyo tulimwamini na si wengineo wowote.
 


Nitapiga kura kama kutakuwa na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
.huku vijana washaingia barabarani wanaimba " wamechinja KUKU, tumechinja NG'OMBE DUME" na zaidi kuna mmoja wao kapitiwa na gari, ndo anakimbizwa Hospitalini mda huu..
 
Nyie watu mtaasubiri sana!!!!! Yaan kuna watu cjui akili haina mingine ipo bize twitter inasifia cuf kwa kuiua chadema bungeni!!!! Chadema haifi jaman...labda chauma
 
RobyMi

CHAMA TAWALA kinabeba lawama 80% (kinatumia madaraka yake kuzidi kuwafanya wananchi wewe misukule, tena makusudi, ili kitawale milele. Na hata pale ambapo wananchi wamebadilika na kuchagua upinzani, kinatumia vhyombo vyake vya dola kufanya uchakachuzi)

WANANCHI nao wanabeba lawama 15% ( sidhani kama wananchi wa Tanzania wana tofauti na wa Kenya au Zambia. Asilimia kubwa ni waoga wa mabadiliko. Na uoga huo unahusiana na propoganda za chama tawala)

UPINZANI unaweza kuwa nao unabeba lawama 5% (kwa hakika vyama vya upinzani kimoja kimoja na katika muungano wao wa UKAWA wamejitahidi sana kutoa elimu ya uraia na ushahidi ni ukombozi wa jiji mama wa majiji ya Tanganyika, DSM. Lakini hawajaweza kufanya kazi nzuri kuwafikia wananchi katika ngome za chama tawala kv mikoa ya kati na kusini. Pia hawakupaswa kupoteza majimbo ambayo tayari yaliishakuwa ngome zao. kulikuwepo na upungufu wa kimkakati kuhusu ushindi)
 
Last edited by a moderator:
Kanisan kwetu tuna mpango wa kujenga nyumba ya Baba Mchungaji, nipo kwny kamati ya maandalizi ya Harambee naomba nisaidie no.ya Mzee
 
Wameshakimbilia kaskazino wote na tusiwaone huku tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…