Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
Niliisha andika huko nyuma kwamba CCM ikishinda ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu na Chadema chini ya Lowassa ikashindwa, hakuna kingine kitakachofuata na huo utakuwa ndio mwisho wa Chadema.
Kwa msingi huo itakuwa ni ndoto kwa Chadema kushika dola ndani ya miaka 50. Subirini muone.
Hahahahaaaaaa CCM haihitaji serikali ya mseto maana inajitosheleza mkubwa. Cha mwisho, issue ya madaraka ni ya kikazi zaidi na si kufurahishana au ulaji kama inavyotamkwa na wengi. Hapa ni kazi tu na si kufurahishana wala kujuana. Na Magufuli akitaka afeli basi ni rahisi sana. Atengeneze serikali ya kujuana na si kufanya kazi za watanzania kwa weredi na uaminifu. Namfahamu vyema na naamini hilo halitakuwepo.
Wameiba kura.
Hakuna ushindi wowote hapo.
alaumiwe aliyewasababishia watanzania ujinga na umasikini maana ndivyo vitu viwili vikuu vinavyowasababisha watanzania waichague ccm
Nimemwambia mwenyekiti wangu wa kule kijijini ajipange kupokea mil 50 na pia mwwenyekiti wangu wa mtaa kupokea mil 50. Ni raha tupu
kama wizi ndo huu sijui kama kuna haja ya kupiga kura hapa tzCongrats jpm jembe huyo
Ushindi wa magufuli ni ushindi wa ccm ambayo ni ile ile tusitarajie mabadiliko. Miaka mitano au kumi ya elimu duni, ukosefu wa huduma bora za afya na umasikini. Tutarajie ndioooooooo pale mjengoni.
Yani nimeumia sana tumelia sana naomba mungu amlinde lowasa .
Hapo kwenye umoja wa kitaifa umekosea sana. Hapo ni kazi tu mambo ya umoja wa kitaifa Haiwezekani
Kinana apewe viti maalumu tuone alafu apewe uwaziri mkuu tuone kama hatakuwa waziri mzigo wa karne.