Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpayukka mada una akili ndogo kama mkia wa Sungura. CCM haijashinda. Tuna matokeo ya kweli yaliyopigwa picha vizuri sana na wazalendo wa nchi hii. Subiri uone.
Wizi wa kura umemuweka madarakani, Mungu atalipa!
Wewe kweli ni PUMBAVU NA LOFA Kwahiyo mpaka watoto wadogo wamepiga kura
Alisema yeye ni muadilifu.Uadilifu wake u wapi wakati kaingia kwa wizi? Serikali ijayo itakuwa na
wizi kuliko zote zilizopita.
Hata lowasa kajitangaza ameshinda kwa asilimia 62
wengi wenu hamumjui magufuli vizuri.. either way ni haki yenu kuongea mnachojickia
Hapa ni kazi tu
SI kajitangaza, katangaza takwimu sahihi kutoka kwa mawakala nchi nzima. Kama urais ungekuwa unapingwa mahakamani Magufuli angekuwa nje muda SI mrefu.
Lakini ndo hivyo tena nasikia maamuzi yake hayapingwi na mahakama yoyote.
CCM(ASP) Zanzibar walionyuma waka sema wao ni Nchi, ya kwao hayatuhusu!Mbona Zanzibar mumeweka mpira kwapani?
Kuanzia diwani mbunge na hatimae raisi sikuipoteza kura yangu kwakweli. Nilikaa kwenye foleni wakati wakujiandikisha, nilikaa foleni kupiga kura, nilikeshe kwenye maombi kuombea amani nchi na kiongozi bora, kwa hakika hakuna ambacho hakikuzaa matunda. Neema imefunguliwa tanzania heko kwenu nyoote sas na turudi kulijenga taifa kwa umoja.