Dr. Rafaeli Chegeni: Naunga mkono hoja kwamba Polepole ni kiroboto

Dr. Rafaeli Chegeni: Naunga mkono hoja kwamba Polepole ni kiroboto

Yuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
Moja ya kanuni za Ujasusi ni kutengeneza mgogoro. Watch out, Polepole ni mwanachama mtiifu wa CCM, Thisi is a planned move, na wanachokilenga ccm mtakijua while mission done. Huu mgogoro ni wa kutengeneza, sio mgogoro wa kweli, mi naishia hapo.
 
Wote wana bwabwaja si wapambane kwa hoja kama kiroboto anavyo jaribu jenga hoja zake
 
Moja ya kanuni za Ujasusi ni kutengeneza mgogoro. Watch out, Polepole ni mwanachama mtiifu wa CCM, Thisi is a planned move, na wanachokilenga ccm mtakijua while mission done. Huu mgogoro ni wa kutengeneza, sio mgogoro wa kweli, mi naishia hapo.
[emoji2] kazi maalum au

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwamba kesho ataibuka na kuandika fb WAHUNI WAONGEZEKA. atachafua tena hali ya hewa.
Tatizo moja linalomuathiri. Uchaguzi 2029 na 2020. Otherwise angeungwa mkono
 
Wanavyozidi kuwatuma watu kumtukana Polepole, ndio wanazidi kuonyesha kuna cartel nyuma inayotaka kufanya uhuni, wajibu tu hoja za Polepole vinginevyo CCM inaenda kupasuka.
Hakuna ccm itayopasuka, mtapasuka nyie waburundi. Tanzania haijazoea watu dizaini yenu. Magu amekufa lakini hamuamini kama hayupo je, Mungu asingefanya utukufu wake, ndio mngetoka kweli madarakani nyie baada ya 2025?
 
Back
Top Bottom