Dr. Rafaeli Chegeni: Naunga mkono hoja kwamba Polepole ni kiroboto

nilimjua chegeni toka 2000 uko jimboni (Busega) akiwa na mpinzani wake John Cheyo.
siku hizo nilikuwa naichukulia siasa kama ushabiki wa Simba Vs Fc Kimondo.
mimi na lika langu tulikuwa tukimshangiria kwa nguvu kwa ujira wa jojo na pipi.

Utoto unatufumba mengi sana.
overrated
 
Orodha ya wahuni mpaka sasa:
1. Nape Nnauye
2. Abdallah Bulembo
3. Raphael Chegeni
4.
5.
Waendelee kujitokeza ili tuwajue
 
Yuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
Wameandaliwa hao kummaliza . yaani kila kona kawekewa watu. Hana pa kupumulia
 
Moja ya kanuni za Ujasusi ni kutengeneza mgogoro. Watch out, Polepole ni mwanachama mtiifu wa CCM, Thisi is a planned move, na wanachokilenga ccm mtakijua while mission done. Huu mgogoro ni wa kutengeneza, sio mgogoro wa kweli, mi naishia hapo.
Hakuna ujasusi wowote hapo mkuu wapuuzi tu kiroboto alikuwa mnafiki enzi za jiwe sasa upande ule unamalizia hasira za jiwe kwake pia ile geto kule dodoma sio ya polepole maji yamemfika shingoni anatafuta huruma ya watu ni hesabu za kishamba!
 
Yuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
Sasa wale waliounga mkono juhudi wakati wa JPM,wajue kwamba wenye chama Chao hawakupenda
 
Moja ya kanuni za Ujasusi ni kutengeneza mgogoro. Watch out, Polepole ni mwanachama mtiifu wa CCM, Thisi is a planned move, na wanachokilenga ccm mtakijua while mission done. Huu mgogoro ni wa kutengeneza, sio mgogoro wa kweli, mi naishia hapo.
Nitakuwa wa mwisho kuamini hili. Nitakuwa kipofu kama nitajidanganya eti Polepole na Nape hawana ugomvi. Nitakuwa zuzu kama nitajidanganya eti Bulembo na Bashiru mambo ni poa. Mtifuano ninaouona (si lazima na wewe uuone) ni kwa sababu wanaoyifuana wanaamini hakuna wa kuwagusa. Chama hakina Giant wa kupiga nyundo maana enzi za magroup zimerejea.
 
Polepole kapuliza Moshi sio wa nchi hii watu wanatoka kwa speed.
 
Kiukweli waendelee kujitokeza tupate orodha kamili ya Ndugu Polepole maana mpaka sasa wamefika 3.
 
Nazifahamu figusu za Chegeni nje ndani....nikiandika hapa itaonekana kwanini nilisubiri amponde Polepole, ila naamini sio Mimi peke yangu ninayejua upuuzi wake kuanzia akiwa mwajiriwa wa NGO ya wakatoliki, migodi ya dhahabu na kuwa mbunge!

Chegeni ana bahati mbaya na Kambi za siasa za CCM maana kila anayojiunga inageuka mavi, kuanzia kwa Kambi ya Sumaye, nk. Anaupenda Sana uwaziri na amejaribu Sana labda mara hii atapata!

Ukisikia kuwadi wa makampuni hewa ya "wazungu" huyu ni namba mbili nyuma ya Makamba.....tatizo lake "mshamba"kama tulivyo wasukuma wengine! Anachofahamu zaidi kiasi kwamba amebobea huwa ni kucheza na media....anajua Sana kufanya habari yake iwe kwenye "headline" za bongo lakini....namuombea ajijenge hadi Fox, CNN, nk

Wahuni wamefika 3 sasa...
Nape, Bulembo, Chegeni, .....hahaha chochea moto Mzee Polepole!
 
Yuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
Mbona Dr, yupo too subjective sana... badala ya kujadili hoja anajadili mtu, mbona kama hajatendea haki nafasi aliyo pewa
Hizi personal attacks... siyo poa
Pole pole hapingwa kwa hoja siyo vijioja vya kuitwa kiroboto.. hii weakness kubwa sana
 
Nazifahamu figusu za Chegeni nje ndani....nikiandika hapa itaonekana kwanini nilisubiri amponde Polepole, ila naamini sio Mimi peke yangu ninayejua upuuzi wake kuanzia akiwa mwajiriwa wa NGO ya wakatoliki, migodi ya dhahabu na kuwa mbunge!

Chegeni ana bahati mbaya na Kambi za siasa za CCM maana kila anayojiunga inageuka mavi, kuanzia kwa Kambi ya Sumaye, nk. Anaupenda Sana uwaziri na amejaribu Sana labda mara hii atapata!

Ukisikia kuwadi wa makampuni hewa ya "wazungu" huyu ni namba mbili nyuma ya Makamba.....tatizo lake "mshamba"kama tulivyo wasukuma wengine! Anachofahamu zaidi kiasi kwamba amebobea huwa ni kucheza na media....anajua Sana kufanya habari yake iwe kwenye "headline" za bongo lakini....namuombea ajijenge hadi Fox, CNN, nk

Wahuni wamefika 3 sasa...
Nape, Bulembo, Chegeni, .....hahaha chochea moto Mzee Polepole!
Kama una-msupport Polepole basi wewe ni tatizo kubwa sn
 
Moja ya kanuni za Ujasusi ni kutengeneza mgogoro. Watch out, Polepole ni mwanachama mtiifu wa CCM, Thisi is a planned move, na wanachokilenga ccm mtakijua while mission done. Huu mgogoro ni wa kutengeneza, sio mgogoro wa kweli, mi naishia hapo.
Hawana jipya
 
Back
Top Bottom