Nazifahamu figusu za Chegeni nje ndani....nikiandika hapa itaonekana kwanini nilisubiri amponde Polepole, ila naamini sio Mimi peke yangu ninayejua upuuzi wake kuanzia akiwa mwajiriwa wa NGO ya wakatoliki, migodi ya dhahabu na kuwa mbunge!
Chegeni ana bahati mbaya na Kambi za siasa za CCM maana kila anayojiunga inageuka mavi, kuanzia kwa Kambi ya Sumaye, nk. Anaupenda Sana uwaziri na amejaribu Sana labda mara hii atapata!
Ukisikia kuwadi wa makampuni hewa ya "wazungu" huyu ni namba mbili nyuma ya Makamba.....tatizo lake "mshamba"kama tulivyo wasukuma wengine! Anachofahamu zaidi kiasi kwamba amebobea huwa ni kucheza na media....anajua Sana kufanya habari yake iwe kwenye "headline" za bongo lakini....namuombea ajijenge hadi Fox, CNN, nk
Wahuni wamefika 3 sasa...
Nape, Bulembo, Chegeni, .....hahaha chochea moto Mzee Polepole!