let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Wameandaliwa hao kummaliza . yaani kila kona kawekewa watu. Hana pa kupumuliaYuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
Wote ni maslahi tu.Huyo Chegeni ni walewale ccm masilahi
Hakuna ujasusi wowote hapo mkuu wapuuzi tu kiroboto alikuwa mnafiki enzi za jiwe sasa upande ule unamalizia hasira za jiwe kwake pia ile geto kule dodoma sio ya polepole maji yamemfika shingoni anatafuta huruma ya watu ni hesabu za kishamba!Moja ya kanuni za Ujasusi ni kutengeneza mgogoro. Watch out, Polepole ni mwanachama mtiifu wa CCM, Thisi is a planned move, na wanachokilenga ccm mtakijua while mission done. Huu mgogoro ni wa kutengeneza, sio mgogoro wa kweli, mi naishia hapo.
Sasa wale waliounga mkono juhudi wakati wa JPM,wajue kwamba wenye chama Chao hawakupendaYuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
Not to that extentLicha ya kuwa kigeugeu polepole a.k.a mzee wa v-8 ana hoja zake na anatumia Uhuru wake wa kikatiba
Nitakuwa wa mwisho kuamini hili. Nitakuwa kipofu kama nitajidanganya eti Polepole na Nape hawana ugomvi. Nitakuwa zuzu kama nitajidanganya eti Bulembo na Bashiru mambo ni poa. Mtifuano ninaouona (si lazima na wewe uuone) ni kwa sababu wanaoyifuana wanaamini hakuna wa kuwagusa. Chama hakina Giant wa kupiga nyundo maana enzi za magroup zimerejea.Moja ya kanuni za Ujasusi ni kutengeneza mgogoro. Watch out, Polepole ni mwanachama mtiifu wa CCM, Thisi is a planned move, na wanachokilenga ccm mtakijua while mission done. Huu mgogoro ni wa kutengeneza, sio mgogoro wa kweli, mi naishia hapo.
Alafu hawataki kuzijibu bali wanaongea kama watoto wanaolilia kubebwa ili wanyamaze.Licha ya kuwa kigeugeu polepole a.k.a mzee wa v-8 ana hoja zake na anatumia Uhuru wake wa kikatiba
Mbona Dr, yupo too subjective sana... badala ya kujadili hoja anajadili mtu, mbona kama hajatendea haki nafasi aliyo pewaYuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
Jana Chegeni alipwaya sn hana pointYuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
Kama una-msupport Polepole basi wewe ni tatizo kubwa snNazifahamu figusu za Chegeni nje ndani....nikiandika hapa itaonekana kwanini nilisubiri amponde Polepole, ila naamini sio Mimi peke yangu ninayejua upuuzi wake kuanzia akiwa mwajiriwa wa NGO ya wakatoliki, migodi ya dhahabu na kuwa mbunge!
Chegeni ana bahati mbaya na Kambi za siasa za CCM maana kila anayojiunga inageuka mavi, kuanzia kwa Kambi ya Sumaye, nk. Anaupenda Sana uwaziri na amejaribu Sana labda mara hii atapata!
Ukisikia kuwadi wa makampuni hewa ya "wazungu" huyu ni namba mbili nyuma ya Makamba.....tatizo lake "mshamba"kama tulivyo wasukuma wengine! Anachofahamu zaidi kiasi kwamba amebobea huwa ni kucheza na media....anajua Sana kufanya habari yake iwe kwenye "headline" za bongo lakini....namuombea ajijenge hadi Fox, CNN, nk
Wahuni wamefika 3 sasa...
Nape, Bulembo, Chegeni, .....hahaha chochea moto Mzee Polepole!
2029?Huyu mwamba kesho ataibuka na kuandika fb WAHUNI WAONGEZEKA. atachafua tena hali ya hewa.
Tatizo moja linalomuathiri. Uchaguzi 2029 na 2020. Otherwise angeungwa mkono
Hawana jipyaMoja ya kanuni za Ujasusi ni kutengeneza mgogoro. Watch out, Polepole ni mwanachama mtiifu wa CCM, Thisi is a planned move, na wanachokilenga ccm mtakijua while mission done. Huu mgogoro ni wa kutengeneza, sio mgogoro wa kweli, mi naishia hapo.
Mpaka afeNimemsikiliza, Polepole amebaki yatima.
Sio v-8 ni v-80Licha ya kuwa kigeugeu polepole a.k.a mzee wa v-8 ana hoja zake na anatumia Uhuru wake wa kikatiba