Dr. Rafaeli Chegeni: Naunga mkono hoja kwamba Polepole ni kiroboto

Wameandaliwa hao kummaliza . yaani kila kona kawekewa watu. Hana pa kupumulia
Wanahangaika sana wao wana dola na watu wasiojulikana wangempiga risasi tu mbona Tundu Lissu alipigwa risasi 36 mchana kweupe na hadi leo hakuna aliyeguswa. Wampasue tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Chegeni alishindwa kwenye kura za maoni walilingana kura na kiana Magu akampitisha kijana akawa mgombea, pia kipindi cha Magu Isamilo Lodge ilipigwa faini na NEMC kwa hiyo usisitaajabu ukimuona nabweka hivo.
 
Wanavyozidi kuwatuma watu kumtukana Polepole, ndio wanazidi kuonyesha kuna cartel nyuma inayotaka kufanya uhuni, wajibu tu hoja za Polepole vinginevyo CCM inaenda kupasuka.
Kiroboto kipasue ccm thubutu
 
Isipasuke kipindi cha Lowassa ndio iwe kwa Chakubanga! Kweli Chakubanga ambaye amekutwa na KY-Jelly?
ujue kipindi cha lowasa kulikuwa na wazee wenye busara wa kusawazisha mambo si kama akina B wanaobwabwaja tu bila hata kufikiria.kila karne ina enzi zake
 
ujue kipindi cha lowasa kulikuwa na wazee wenye busara wa kusawazisha mambo si kama akina B wanaobwabwaja tu bila hata kufikiria.kila karne ina enzi zake
Ni wazee gani ambao unahisi sasa hawapo?
 
Huyu mwamba kesho ataibuka na kuandika fb WAHUNI WAONGEZEKA. atachafua tena hali ya hewa.
Tatizo moja linalomuathiri. Uchaguzi 2029 na 2020. Otherwise angeungwa mkono
Mwamba ulimaanisha uchaguzi 2019?
 
Licha ya kuwa kigeugeu polepole a.k.a mzee wa v-8 ana hoja zake na anatumia Uhuru wake wa kikatiba
Hafu kila mccm anaerusha mateke hajibu hoja ni mwendo kutukana.(uncivilised ) halafu Naona nibhasira Polepole alilibumburua kundi la Futungo kabla ya kuleta madhara makubwa na mama kashashtukia janja ya Futungo kama vile kaliiacha njia panda hili Genge kilichobaki ni kuwachomoa wahuni wawili kwenye Baraza then awe anaweka wazi msimamo maana nae akiyumba tutaenda nae mpechempeche. Jana kwenye mikataba kanipa viasilimia fulani vya Imani
 
Yuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
Zimwi la uchafuzi wa 28/10/2020 linawasakama CCM. "Ngoma inogile".
 
Yuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
Huyo Dr. Chegeni hana hadhi kabisa ya kuitwa Dr. maana alikuwa hana ubavu wa kupambana na John Heche kwa hoja. Heche alitoa hoja zilizoshiba maudhui ya ueledi lkn Chegeni na udaktari wake cjui wa nini alikuwa anatapatapa tu hajui aanzie wapi aishie wapi. Suala la Polepole yeye kama daktari alipaswa ajibu hoja za Polepole na siyo kuishia tu kusema eti ni kiroboto. Kimsingi Chegeni hana tofauti na wahuni wengine wa kitaa wasio na lojiki yoyote. Hadi sasa tumeshapata Wahuni watatu, nani wa nne atakayefuata baada ya Nape, Bulembo na Chegeni?
 
Moja ya kanuni za Ujasusi ni kutengeneza mgogoro. Watch out, Polepole ni mwanachama mtiifu wa CCM, Thisi is a planned move, na wanachokilenga ccm mtakijua while mission done. Huu mgogoro ni wa kutengeneza, sio mgogoro wa kweli, mi naishia hapo.

False. Akina Trump kule USA na Johnson, UK, ndio inabidi watumie janja nyingi kupata umaarufu na kushinda chaguzi. CCM haihitaji kusumbuka kiasi hicho wakati umaarufu na ushindi ni guaranteed by vyombo vya dola.

Let Polepole shed his grief his own way. This is still an unfathomable loss. Hakuna mgogoro wa chama wala zoezi la kijasusi bali msiba mzito.
 
Jimbo linamsubiri huku Busega huyu chegeni,maana songe yupo yupo tu ati naye anapita jimboni kuunda kambi za kumuunga mkono 2025.

Chegeni njoo Wana Busega wanakusubiri kwa hamu Sana,maana waliuza bunduki wakanunua rungu
 
Wakati mwingine tuwe na matumizi mazuri na shabaha sahihi ya lugha. Kama kweli ni Kiroboto amesababishaje kundi kubwa hivi la "heavy weights" kuingia ulingoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…