majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
hizo tuzo ziliandaliwa na wachagga?
kwanini baghresa hakuwepo?
Siku hizi umekuaa bwana mshana maana umeacha kupost vile vikatuni vyako baada za kula za uso" big up muungwana ni vitendo si maneno"Kutowapongeza kwa mafanikio yao ni ujuha na wivu wa kijinga
mzushi kama kwa kusema hivyo imekupa nafuu haina shida siwekagi bifu kwakuwa kwa njia hiyo hatuwezi kukua na sio wakati wote tunaweza kufanana mawazoSiku hizi umekuaa bwana mshana maana umeacha kupost vile vikatuni vyako baada za kula za uso" big up muungwana ni vitendo si maneno"
lyinga umenena vema mchaga ni sawa na mchina popote kambi
hizo tuzo ziliandaliwa na wachagga?
Whinges rose by ippm media on low wages contraband to what is aired to public with regard to iconic figure billionnaire Mengi
hizo tuzo ziliandaliwa na wachagga?
Shikamooni dakta Mengi ns bwana Ngowi. Shikamooni sana shemeji zangu. Shikamooni sana Wachaga wote ulimwenguni. Salam ziwafikie Chama cha Mapinduzi na harakati zao kwa Wachaga hadi maofini na ugawaji wa madaraka. Maeneo muhimu yamepwaya uchumi unayumba kisa eti wachaga wasipewe madaraka. Hayati baba wa Taifa hakuwa mjinga. TRA kitovu cha mapato kunayumba only kwa kuwa mnawaondoa wachaga wachapakazi na kuwajaza wavivu na mstari wa mbele kuiba. Wale anti wachaga stay away from my post and opinion. Andika yako.
vipi kuhusu ujambazi?
hizo tuzo ziliandaliwa na wachagga?
Hongereni sana,ni wachaga hao nafikiri,na yule ------ mwenye lakeoil hawaku muona?nauliza tu jamani
Kuishia kuandika maneno mengine tu bila kuweka neno "hongera" kwa Mzee Mengi na Bw. Ngowi ni ujinga na wivu wa kike!! Hongera sana Mzee Mengi na Patrick Ngowi kwa mafanikio yenu, MUNGU awe nanyi katika njia zenu!!Kutowapongeza kwa mafanikio yao ni ujuha na wivu wa kijinga