Dr. Reginald Mengi na Mr. Patrick Ngowi waitoa kimasomaso Tanzania

Kutowapongeza kwa mafanikio yao ni ujuha na wivu wa kijinga
Siku hizi umekuaa bwana mshana maana umeacha kupost vile vikatuni vyako baada za kula za uso" big up muungwana ni vitendo si maneno"
 
mzushi kama kwa kusema hivyo imekupa nafuu haina shida siwekagi bifu kwakuwa kwa njia hiyo hatuwezi kukua na sio wakati wote tunaweza kufanana mawazo
 
Last edited by a moderator:
Whinges rose by ippm media on low wages contraband to what is aired to public with regard to iconic figure billionnaire Mengi
 
Shikamooni dakta Mengi ns bwana Ngowi. Shikamooni sana shemeji zangu. Shikamooni sana Wachaga wote ulimwenguni. Salam ziwafikie Chama cha Mapinduzi na harakati zao kwa Wachaga hadi maofini na ugawaji wa madaraka. Maeneo muhimu yamepwaya uchumi unayumba kisa eti wachaga wasipewe madaraka. Hayati baba wa Taifa hakuwa mjinga. TRA kitovu cha mapato kunayumba only kwa kuwa mnawaondoa wachaga wachapakazi na kuwajaza wavivu na mstari wa mbele kuiba. Wale anti wachaga stay away from my post and opinion. Andika yako.
 
Hameni mwende greeen pastures. You need to change about 12 employers before you retire if and only if you are competent!!! Unachozalisha reflects your pay!!!
 
Shikamooni dakta Mengi ns bwana Ngowi. Shikamooni sana shemeji zangu. Shikamooni sana Wachaga wote ulimwenguni. Salam ziwafikie Chama cha Mapinduzi na harakati zao kwa Wachaga hadi maofini na ugawaji wa madaraka. Maeneo muhimu yamepwaya uchumi unayumba kisa eti wachaga wasipewe madaraka. Hayati baba wa Taifa hakuwa mjinga. TRA kitovu cha mapato kunayumba only kwa kuwa mnawaondoa wachaga wachapakazi na kuwajaza wavivu na mstari wa mbele kuiba. Wale anti wachaga stay away from my post and opinion. Andika yako.

Wachagga waliua tra kwa ufisadi na wizi..Sasa hivi wanaondolewa kodi inakusanywa
 
hizo tuzo ziliandaliwa na wachagga?

Haha ha ha. Mkuu umenichekesha kabisa. Kuna judging criteria na judges si watanzania ni proffesionals toka sehemu mbalimbali wala hawajui makabila ya Tanzania. Pale ni your potentiality and achievements only. Mnashindanishwa na kulikuwa na wakenya kibao na imefanyikia nchini mwao na hawakufua dafu. Pole mkuu.
 
Kutowapongeza kwa mafanikio yao ni ujuha na wivu wa kijinga
Kuishia kuandika maneno mengine tu bila kuweka neno "hongera" kwa Mzee Mengi na Bw. Ngowi ni ujinga na wivu wa kike!! Hongera sana Mzee Mengi na Patrick Ngowi kwa mafanikio yenu, MUNGU awe nanyi katika njia zenu!!
 
Back
Top Bottom