Mengi aanze kwanza kulipa wafanyakazi wake kabla ya siye kumpongeza
sijui ni upendeleo? Du lakini hawa watoa tuzo ni wakimataifa wanawatambua watanzania tu na si kivingine!
Shukrani ya punda ni mateke. Ukiona mshahara hautoshi nenda mahakamani au ukishindwa kabisa hama nenda media nyingine inayolipa vizuri instead of holding A then opt for B au sio
Mijizi ya kichaga haina ishu hiyo achaneni nao...Kama mnavyojua jana usiku palikuwa na hafla ya kukabidhi tuzo kwa wafanyabiashara waliotukuka EA pale Nairobi. Bwana Mengi amejinyakulia tuzo mbili (EA Business Leader Award & Lifetime Achievement) wakati kijana anayechipukia kwenye biashara, Patrick Ngowi, amenyakua tuzo ya EA Young Business Leader. Tuzo hizo zinajulikana kama aabla2014. na zimeratibiwa na CNBC Africa.
source: https://mobile.twitter.com/regmengi?p=s
Roho mbaya sana hiyo mijitu ukitaka kuifahamu nenda kawekeze kwao. Utajuta kuzaliwa...wanaona raha sana kuwekeza mikoa ya wenzao lakini kuwekeza kwao mgeni ni sumu. Nina rafiki yangu mwalimu kwenye shule moja Rombo kavunjiwa vioo vyake na kungolewa mabango yake ya matangazo kwenye kibanda chake cha M-pesa tena kaniambia hata ukilima hii mijitu inakuzidishia mbolea kwenye mashina mazao yaungue. Hili kabila halina ubinadamu linapokuja suala la kipato.Hard work pays. Hengeleni sana. labda pengine tutajifunza kitu Fulani kwa wenzetu Wachaga!
Roho mbaya sana hiyo mijitu ukitaka kuifahamu nenda kawekeze kwao. Utajuta kuzaliwa...wanaona raha sana kuwekeza mikoa ya wenzao lakini kuwekeza kwao mgeni ni sumu. Nina rafiki yangu mwalimu kwenye shule moja Rombo kavunjiwa vioo vyake na kungolewa mabango yake ya matangazo kwenye kibanda chake cha M-pesa tena kaniambia hata ukilima hii mijitu inakuzidishia mbolea kwenye mashina mazao yaungue. Hili kabila halina ubinadamu linapokuja suala la kipato.
Mijizi ya kichaga haina ishu hiyo achaneni nao...
Watoto wa sekondari wanatusumbua sana humu jukwaani. mxiuuuuuuuu!!!huo nao uwekezaji?
Atwambie HELA ZA KAMPUNI YA NICOL yeye na mchaga mwenzie walizipeleka wapi~mosha,
vipi mchana umekula au umeshinda na njaa?Mijizi ya kichaga haina ishu hiyo achaneni nao...
vipi mchana umekula au umeshinda na njaa?
hahaha!! tukubali tu kwamba wachagga wana business blood. wale watu wamebarikiwa aisee. ukienda huko vijijlni kwao utastaajabu