Dr. Reginald Mengi na Mr. Patrick Ngowi waitoa kimasomaso Tanzania

Dr. Reginald Mengi na Mr. Patrick Ngowi waitoa kimasomaso Tanzania

Mengi aanze kwanza kulipa wafanyakazi wake kabla ya siye kumpongeza

Shukrani ya punda ni mateke. Ukiona mshahara hautoshi nenda mahakamani au ukishindwa kabisa hama nenda media nyingine inayolipa vizuri instead of holding A then opt for B au sio
 
Hard work pays. Hengeleni sana. labda pengine tutajifunza kitu Fulani kwa wenzetu Wachaga!
 
Shukrani ya punda ni mateke. Ukiona mshahara hautoshi nenda mahakamani au ukishindwa kabisa hama nenda media nyingine inayolipa vizuri instead of holding A then opt for B au sio

wabongo wengi wajanja mdomoni tu, kuanzia viongozi mpaka wananchi. kwa mfano atakupa maneno kibao jinsi ya kuondoa umaskini ila mwambie atekeleze, atabaki kunung'unika tu.
 
Kama mnavyojua jana usiku palikuwa na hafla ya kukabidhi tuzo kwa wafanyabiashara waliotukuka EA pale Nairobi. Bwana Mengi amejinyakulia tuzo mbili (EA Business Leader Award & Lifetime Achievement) wakati kijana anayechipukia kwenye biashara, Patrick Ngowi, amenyakua tuzo ya EA Young Business Leader. Tuzo hizo zinajulikana kama aabla2014. na zimeratibiwa na CNBC Africa.
source: https://mobile.twitter.com/regmengi?p=s
Mijizi ya kichaga haina ishu hiyo achaneni nao...
 
Hard work pays. Hengeleni sana. labda pengine tutajifunza kitu Fulani kwa wenzetu Wachaga!
Roho mbaya sana hiyo mijitu ukitaka kuifahamu nenda kawekeze kwao. Utajuta kuzaliwa...wanaona raha sana kuwekeza mikoa ya wenzao lakini kuwekeza kwao mgeni ni sumu. Nina rafiki yangu mwalimu kwenye shule moja Rombo kavunjiwa vioo vyake na kungolewa mabango yake ya matangazo kwenye kibanda chake cha M-pesa tena kaniambia hata ukilima hii mijitu inakuzidishia mbolea kwenye mashina mazao yaungue. Hili kabila halina ubinadamu linapokuja suala la kipato.
 
huo nao uwekezaji?
 
Huyu Ngowi sina taarifa zake vizuri ni jnsi gani aliweza kufanikisha shughuli zake lakini hizo kidogo zilizopo zinatia matumaini sana na hasa kwa watu wanaotaka kutumia bidii na maarifa kufanikiwa. Mengi tunajua kuwa ukilinganisha kiasi chake cha utajiri na matajiri wengine wa Kitanzania hakika anaweza kushika hata namba ya 50 lakini yeye anajitahihdi kuweka mambo yake wazi kwa asilimia kubwa pia kuwapa moyo na kuwafundisha wengine ili nao watajirike.

Hapa kuna matajiri na vijana wenye pesa nyingi lakini wakija in public utasikia mtu mwenye matruck zaidi ya 300 anakwambia kuwa anamiliki Toyota vista tena ya mwaka 1996! Kweli pesa haramu hazitufai.
 
hahaha!! tukubali tu kwamba wachagga wana business blood. wale watu wamebarikiwa aisee. ukienda huko vijijlni kwao utastaajabu

You can say that again. Moshi ninapotokea mm unakuta mbibi / mama wa makamo hajui kusoma wala kuandika lakini pesa yake humdhulumu na biashara yake inakwenda fresh tu. Hapo ndio utatia akili kwamba kuna watu Mungu amewapa vipaji vya ajabu. There is always a genious in every hard working man. Istoshe hata hapa mjini kuna wachagga wameishia darasa la 3 wanachojua ni kuandika, kusoma na kuhesabu tu ila wanafanya mambo makubwa we mwenyewe na masters sijui cpa yako unaonekana mseng* tu (anakuajiri wewe msomi na anaku control ww pamoja na hyo elimu yako). #ProudlyChagga.
 
  • Dr. Reginald Mengi
  • Patrick Ngowi
Hongera sana. Mlidhubutu, sasa mmeweza.
 
Back
Top Bottom