Dr. Reginald Mengi na Mr. Patrick Ngowi waitoa kimasomaso Tanzania

Dr. Reginald Mengi na Mr. Patrick Ngowi waitoa kimasomaso Tanzania

Kuishia kuandika maneno mengine tu bila kuweka neno "hongera" kwa Mzee Mengi na Bw. Ngowi ni ujinga na wivu wa kike!! Hongera sana Mzee Mengi na Patrick Ngowi kwa mafanikio yenu, MUNGU awe nanyi katika njia zenu!!

Duuu kwahiyo unanisema mimi au? Nimeshawapongeza sana ndugu yangu
 
hizo tuzo ziliandaliwa na wachagga?

Hapana, mleta mada amesema zimeandaliwa na CNBC Africa, we kaa na maswali ya kizandiki wenzako wanapiga pesa... sanasana utaishia kuwa typist tu humu JF wakati wenzako wanapiga pesa ndefu

Ukimaliza maswali ya kipunga, ongeza bidii ya kazi
 
Ina maana hizi tuzo hazikumuona kijana wa watu anayejituma na mchapakazi. Le Blogger, Le Tajiri aka William MALECELA? Nimesikitika sana!!

kijana ambaye wafanyabiashara wote wanatamani kufanya naye kazi. hahahha!!
cc W. J. Malecela wa blog ya wananchi, mutu ya totoz.
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkuu! Naungana na wewe kuwasema wale wanaoandika maneno mengine tu bila kutoa hongera!! Niliona mkuu umetushukia sana tuliokuwa kimya mpaka muda huo!!

Vizuri sana nimekusoma Job K
 
Last edited by a moderator:
Wachagga waliua tra kwa ufisadi na wizi..Sasa hivi wanaondolewa kodi inakusanywa

an economic theory suggests that "a value of shilling today is of a less value than yesterday and so will be tomorrow"
 
Mi nawapongeza sana...ila kwa Patrick Ngowi kidogo nina wasiwasi,yupo kama anapenda media sana na attention..3mil usd kwa mwaka turnover,itakua imeongezwa chumvi kidogo,halafu kwa 30 years olds hapa TZ wapo wenye turnover zaidi ya hiyo,surely wapo...ukikata uliza watu wa benk wakupe turnovers....im not hating,just sayin..
 
Shikamooni dakta Mengi ns bwana Ngowi. Shikamooni sana shemeji zangu. Shikamooni sana Wachaga wote ulimwenguni. Salam ziwafikie Chama cha Mapinduzi na harakati zao kwa Wachaga hadi maofini na ugawaji wa madaraka. Maeneo muhimu yamepwaya uchumi unayumba kisa eti wachaga wasipewe madaraka. Hayati baba wa Taifa hakuwa mjinga. TRA kitovu cha mapato kunayumba only kwa kuwa mnawaondoa wachaga wachapakazi na kuwajaza wavivu na mstari wa mbele kuiba. Wale anti wachaga stay away from my post and opinion. Andika yako.

Mzee Zogwale hii ni a.ss kissing iliyopita kiwango...and this comes from the guy who comes from the same village Ngowi hails from...wape hongera tu inatosha,hayo mengine ni too much maaaan!
 
Wachagga waliua tra kwa ufisadi na wizi..Sasa hivi wanaondolewa kodi inakusanywa

Mkuu laki si pesa kodi kama inakusanywa nyingi inafanya kazi gani? hakuna huduma muhimu kama maji, elimu duni, afya huduma mbovu na tunachangia bima au cash. Na mengine mengi.
 
vipi kuhusu ujambazi?

Daaa aisee wewe ni shidaaa wewe mwenyewe ni mwizi huo mshahara wako unaendana sawa na maisha unayoishi ?ukijitetea umejiajiri bado mwizi tu unaiibia serikali kodi na unatuibia wateja wako mwizi mwizi tu hata ukiiba pipi jina linabakia kuwa mwizi.
 
Mzee Zogwale hii ni a.ss kissing iliyopita kiwango...and this comes from the guy who comes from the same village Ngowi hails from...wape hongera tu inatosha,hayo mengine ni too much maaaan!

Mkuu haina shida kwangu kumsifia aliyefanikiwa. Siombi chochote kwa Ngowi wala Mengi binafsi nina zangu za kunitosha na vizazi ila siwafikii na pengine sijataka kufanya juhudi za kufika huko. Let me kiss their ass kabisa, they are men. They made it. Ndiyo maana katika post nilisema that was my opinion and should remain solely mine. Kila mtu ana uhuru wa kuandika ya kwake.
 
wapongeze ni vyema. lakini muhimu ni je, umejifunza kitu? Usiwe mtu wa kupongeza tu, jifunze kitu na ukifanyie kazi ili nawe siku moja upongezwe.
 
Mi nawapongeza sana...ila kwa Patrick Ngowi kidogo nina wasiwasi,yupo kama anapenda media sana na attention..3mil usd kwa mwaka turnover,itakua imeongezwa chumvi kidogo,halafu kwa 30 years olds hapa TZ wapo wenye turnover zaidi ya hiyo,surely wapo...ukikata uliza watu wa benk wakupe turnovers....im not hating,just sayin..
i agree with you... dogo anapenda media

kuna wenye zaidi ya hizo na husikii popote...

I hope he pays Taxes kama anavyojiweka kwenye media

all in all ocngrats to the winners
 
Kama mnavyojua jana usiku palikuwa na hafla ya kukabidhi tuzo kwa wafanyabiashara waliotukuka EA pale Nairobi. Bwana Mengi amejinyakulia tuzo mbili (EA Business Leader Award & Lifetime Achievement) wakati kijana anayechipukia kwenye biashara, Patrick Ngowi, amenyakua tuzo ya EA Young Business Leader. Tuzo hizo zinajulikana kama aabla2014. na zimeratibiwa na CNBC Africa.
source: https://mobile.twitter.com/regmengi?p=s

Hongera wachagga kwa kuifutia aibu Tanzania kwamba kuna watz ambao wanaijua biashara.
 
Back
Top Bottom