Dr. Rioba kiti kinapwaya na siasa huwezi

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,694
Reaction score
3,309
Ukiwa kama mkurugenzi mkuu nimeona ndani ya mwezi mmoja ukifungua vituo vya TBC Dodoma na Morogoro ni jambo zuri sana.

Nasikitika kuwa unasimamia fake news badala Yakuwalisha wananchi habari zenye UKWELI NA UHAKIKA na kinyume chake imekuwa TBC UWONGO NA UHAKIKA.
Jitokeze kama nafasi hiyo bado inakufaa.
TBC ni chombo cha Taifa,wapi utaifa mnaouwakilisha ikiwa mnakuwa waongo kiasi hicho.Mmekuwa wachochezi sana kulinda maslai yenu
 
TBC hawawajibiki kwa umma, bali wanawajibika kwa watawala. Maagizo ya kutangaza hizo habari ni za mabosi wake. Hivyo huyo mkurugenzi hapiganii ukweli, bali anapambania tumbo.
 
TBC ni chombo cha kueneza propaganda za chama tawala..! Ryoba yupo pale kama muenezi wa chama na kuhakikisha hilo jambo linafanyika kwa ustadi mkubwa. Hana jipya zaidi, amechagua kuonesha wasomi wetu hawana lolote zaidi ya kufanya propaganda mkono uende kinywani.
 
Ukiwa kama mkurugenzi mkuu nimeona ndani ya mwezi mmoja ukifungua vituo vya TBC Dodoma na Morogoro ni jambo zuri sana.

Nasikitika kuwa unasimamia fake news badala Yakuwalisha wananchi habari zenye UKWELI NA UHAKIKA na kinyume chake imekuwa TBC UWONGO NA UHAKIKA.
Jitokeze kama nafasi hiyo bado inakufaa.
TBC ni chombo cha Taifa,wapi utaifa mnaouwakilisha ikiwa mnakuwa waongo kiasi hicho.Mmekuwa wachochezi sana kulinda maslai yenu
Ukishamjua kuwa Mhariri Mkuu Kikanuni hasa kwa State Owned Media ni Rais wa nchi Wala usingepata huu muda wa kuja Kujihangaisha na Kutupotezea muda hapa.

Watanzania tumekuwa ni Watu Wanafiki mno hasa pale tu tukiwa nje ya Mfumo ( System ) na badala yake tumekalia Wivu na Majungu kwa waliopata Nafasi za Kiuongozi.

Hivi Mtanzania gani Mpumbavu kwa hali ya nchi ilivyo sasa huku Kipato kikiwa ni Kigumu ikitokea bahati akateuliwa na Rais yoyote aswe anamtumikia na hata Kujipendekeza zaidi Kwake ili aendelee Kuula tu?

Hata Wewe ukiteuliwa utabadilika sana.
 
Wasomi wa Tanzania wote ni rubbish,wapo kimaslahi Sana hawaamini wanachokitetea kama huamini mfuatilie Bashiru Ally Kakurwa,Palamagamba Kabudi,Dr. Benson Banna,Prof.Muhongo,Ndalichako,Mpango,n.k.

Wengi wapo kwa manufaa ya matumbo yao.ndo maana Kikwete alisema za kuambiwa ongeza na zà kwako.
 
Ukiwa kama mkurugenzi mkuu nimeona ndani ya mwezi mmoja ukifungua vituo vya TBC Dodoma na Morogoro ni jambo zuri sana.

Nasikitika kuwa unasimamia fake news badala Yakuwalisha wananchi habari zenye UKWELI NA UHAKIKA na kinyume chake imekuwa TBC UWONGO NA UHAKIKA.
Jitokeze kama nafasi hiyo bado inakufaa.
TBC ni chombo cha Taifa,wapi utaifa mnaouwakilisha ikiwa mnakuwa waongo kiasi hicho.Mmekuwa wachochezi sana kulinda maslai yenu
Naona ni mashambulizi binafsi tu
Onesha wapi TBC imetoa habari uongo?
 
Naona ni mashambulizi binafsi tu
Onesha wapi TBC imetoa habari uongo?
Hustahili,waliotazama wajinga.Je hayo mashambulizi yametokana na nini.
 
Back
Top Bottom