Ukiwa kama mkurugenzi mkuu nimeona ndani ya mwezi mmoja ukifungua vituo vya TBC Dodoma na Morogoro ni jambo zuri sana.
Nasikitika kuwa unasimamia fake news badala Yakuwalisha wananchi habari zenye UKWELI NA UHAKIKA na kinyume chake imekuwa TBC UWONGO NA UHAKIKA.
Jitokeze kama nafasi hiyo bado inakufaa.
TBC ni chombo cha Taifa,wapi utaifa mnaouwakilisha ikiwa mnakuwa waongo kiasi hicho.Mmekuwa wachochezi sana kulinda maslai yenu
Ukishamjua kuwa Mhariri Mkuu Kikanuni hasa kwa State Owned Media ni Rais wa nchi Wala usingepata huu muda wa kuja Kujihangaisha na Kutupotezea muda hapa.Ukiwa kama mkurugenzi mkuu nimeona ndani ya mwezi mmoja ukifungua vituo vya TBC Dodoma na Morogoro ni jambo zuri sana.
Nasikitika kuwa unasimamia fake news badala Yakuwalisha wananchi habari zenye UKWELI NA UHAKIKA na kinyume chake imekuwa TBC UWONGO NA UHAKIKA.
Jitokeze kama nafasi hiyo bado inakufaa.
TBC ni chombo cha Taifa,wapi utaifa mnaouwakilisha ikiwa mnakuwa waongo kiasi hicho.Mmekuwa wachochezi sana kulinda maslai yenu
Naona ni mashambulizi binafsi tuUkiwa kama mkurugenzi mkuu nimeona ndani ya mwezi mmoja ukifungua vituo vya TBC Dodoma na Morogoro ni jambo zuri sana.
Nasikitika kuwa unasimamia fake news badala Yakuwalisha wananchi habari zenye UKWELI NA UHAKIKA na kinyume chake imekuwa TBC UWONGO NA UHAKIKA.
Jitokeze kama nafasi hiyo bado inakufaa.
TBC ni chombo cha Taifa,wapi utaifa mnaouwakilisha ikiwa mnakuwa waongo kiasi hicho.Mmekuwa wachochezi sana kulinda maslai yenu
Hustahili,waliotazama wajinga.Je hayo mashambulizi yametokana na nini.Naona ni mashambulizi binafsi tu
Onesha wapi TBC imetoa habari uongo?