Naunga mkono hoja! nakumbuka enzi zile kabla ujio wa Dr Riwa kulikuwa na madaktari wafuatao :- figganigga, aspirin, Uporoto, husninyo, wiselady, Lizzy ,Dena Amsi, n.k Dah! ilikuwa balaa! ilikuwa ukisema umefanya kijipu cha ufizi tu wanakuambia ukapime ukimwi, Halaf nakumbuka siku moja jamaa alikuja kusema anawashwa sana na mgongo madaktari wetu wakamuambia ana tubakulosis. Khaaa!
ubarikiwe Dr Riwa.
Heri wewe umejitokeza! wale wengine tangu akanyage Dr Riwa kwenye hili jukwaa wamehamia chit chat! wanaogopa kushtukiziwa! Khaaa!he he he! nilijua ulipona yale maradhi kumbe ndo imekuwa mbaya zaidi! kiukweli umenifanya nicheke saaana usiku huu,thx mydearest kloro..

Naunga mkono hoja! nakumbuka enzi zile kabla ujio wa Dr Riwa kulikuwa na madaktari wafuatao :- figganigga, aspirin, Uporoto, husninyo, wiselady, Lizzy ,Dena Amsi, n.k Dah! ilikuwa balaa! ilikuwa ukisema umefanya kijipu cha ufizi tu wanakuambia ukapime ukimwi, Halaf nakumbuka siku moja jamaa alikuja kusema anawashwa sana na mgongo madaktari wetu wakamuambia ana tubakulosis. Khaaa!

ubarikiwe Dr Riwa.

hahahahahahaha! We kloro mwenyewe feki.
nilikwambia nahisi mwili wa moto kama dalili ya homa ukaniambia nimeze mabarafu. Khaa!

Khaaaa! sio mimi bana, alikwambia sweetlady halaf nakumbuka ukajibu mpwapwa hakuna majokofu.
Heri wewe umejitokeza! wale wengine tangu akanyage Dr Riwa kwenye hili jukwaa wamehamia chit chat! wanaogopa kushtukiziwa! Khaaa!

ni wewe nikakwambia macho yanauma ukasema niyaweke super glue. Kloro utatuua jamani.

Hus mbona huna shukrani na naskia kloro amekusaidia sana ulipokuwa muhimbili?nway tatizo dogo lililobaki mweleze Dr RIWA
Hayo ni maon yangu tu lakini natumaini nitaungwa mkono huyu jamaa anajitahidi sana kutusaidia hapa jamvini kila la kheri na mungu azidi kumtia nguvu nakuombea mema Dr. Riwa nimekuwa nisomasana michango yako na ushauri wako ubarikwesana mkuu.
Wandugu,
Nashukuru sana...tena sana kwa kuona na kuthamini mchango wangu hapa JF sana katika jukwaa hili la JF Doctor. Ahsanteni pia kwa dua, Husninyo ahsante 'free style'! Najitahidi kila pale ninapoweza kuchangia na/au kushea nanyi elimu hii ya utabibu na afya nikiamini kuwa kuna matatizo mengi ambayo hata wengine hawawezi kuongea na daktari wake, lakini anayamwaga hapa na tunajadili. Najua jukwaa hili lina madaktari wengine, manesi na wadau wengine mbali mbali wa afya ambao wana michango mizuuri tu, nami mara kwa mara najifunza kwao na kwa wachangiaji wengine pia! kwa kifupi ni jukwaa nilipendalo...
Nilifanya kazi kama daktari kwa miaka kadhaa Muhimbili, nikapata matatizo na mwajiri wangu (Wizara ya Afya), nikawa frustrated sana na kupractice clinical medicine, nikahamia kwenye utafiti wa masuala mbali mbali ya afya. Nimejikita zaidi kwenye 'afya ya jamii' kwa sasa, sitibu tena...hivyo sina hospitali ninayofanya kazi kwa sasa.
Lakini mara zote unapohitajika ushauri/ufafanuzi ambao upo ndani ya uwezo wangu, au issue ambayo naweza soma zaidi ili kuweza kushea nanyi nijuacho, basi karibuni kwa kuanzisha thread hapa jukwaani...au hata kwa PM...ni furaha yangu pale ninapoweza kusaidia.

Kimenisibu Computer yangu ya Desktop Windows 7 iliingia ugonjwa wa virus na hiyo virus ikaharibu mpaka Graphic Card yangu matokeo yake nikanunua Graphic card ingine nilijaribu wiki moja nzima kutibu hayo matatizo lakini ikashindikana mpaka nikaamuwa kuiformat Computer yangu . Ndio maana sikuwa naingia kila wakati online asante sana kwa ushauri wako .Nimefaidika sana na michango ya madaktari ktk jukwaa hili
akiwemo Dr. Riwa
tumekuwa tukiwalaumu sana madocta wengine kama mzizimkavu lakini hatujui ni nini kimewasibu
inawezekana ni hali ya uchumi.
nashauri kama inawezekana tuwe tunachangia kiasi fulani cha fedha kwa watu hawa muhimu ili kuwawezesha modem zao na waweze kuli access jukwaa hili .
ni wazo tu