Dr.Riwa anastahili pongezi sana katika hili jukwaa

Naunga mkono hoja! nakumbuka enzi zile kabla ujio wa Dr Riwa kulikuwa na madaktari wafuatao :- figganigga, aspirin, Uporoto, husninyo, wiselady, Lizzy ,Dena Amsi, n.k Dah! ilikuwa balaa! ilikuwa ukisema umefanya kijipu cha ufizi tu wanakuambia ukapime ukimwi, Halaf nakumbuka siku moja jamaa alikuja kusema anawashwa sana na mgongo madaktari wetu wakamuambia ana tubakulosis. Khaaa!

ubarikiwe Dr Riwa.

he he he! nilijua ulipona yale maradhi kumbe ndo imekuwa mbaya zaidi! kiukweli umenifanya nicheke saaana usiku huu,thx mydearest kloro..

Heri wewe umejitokeza! wale wengine tangu akanyage Dr Riwa kwenye hili jukwaa wamehamia chit chat! wanaogopa kushtukiziwa! Khaaa!

Naunga mkono hoja! nakumbuka enzi zile kabla ujio wa Dr Riwa kulikuwa na madaktari wafuatao :- figganigga, aspirin, Uporoto, husninyo, wiselady, Lizzy ,Dena Amsi, n.k Dah! ilikuwa balaa! ilikuwa ukisema umefanya kijipu cha ufizi tu wanakuambia ukapime ukimwi, Halaf nakumbuka siku moja jamaa alikuja kusema anawashwa sana na mgongo madaktari wetu wakamuambia ana tubakulosis. Khaaa!

ubarikiwe Dr Riwa.

hahahahahahaha! We kloro mwenyewe feki.
nilikwambia nahisi mwili wa moto kama dalili ya homa ukaniambia nimeze mabarafu. Khaa!

Khaaaa! sio mimi bana, alikwambia sweetlady halaf nakumbuka ukajibu mpwapwa hakuna majokofu.

ni wewe nikakwambia macho yanauma ukasema niyaweke super glue. Kloro utatuua jamani.

Heri wewe umejitokeza! wale wengine tangu akanyage Dr Riwa kwenye hili jukwaa wamehamia chit chat! wanaogopa kushtukiziwa! Khaaa!

hahahaha kloro hao wengine unaowasema hata chit chat hawapo wamekimbia JF mmoja wao yuko hapo chini

ni wewe nikakwambia macho yanauma ukasema niyaweke super glue. Kloro utatuua jamani.

Hus mbona huna shukrani na naskia kloro amekusaidia sana ulipokuwa muhimbili?nway tatizo dogo lililobaki mweleze Dr RIWA

kloro wagonjwa anawaongezea gesi badala ya damu. Khaaa! Mi wangu dokta riwa tu.

Kweli kabisa mdau, mie binafsi huwa napita sana huku kama nikiona swali ambalo naweza kuchangia chochote na mara nyingi huwa nakutana na michango safi sana ya Dr. Riwa.

Tunakushukuru sana mkuu kwa mda wako na ushauri wako wote unaotoa humu.

Dr Riwa mungu akuzidishie zaidi!nilifikir ni mimi tu aliyekuwa anamkubal,kumbe tuko wengi sana tunaonufaika kwa ushauri wako mzuri wa kitaalam usiokuwa wa kishabiki!UBARIKIWE

Hivi huyu DR RIWA ni yule Dr Bingwa wa vichaa aliyekuwa hospital ya rufaa ya KCMC au ni yupi mnayemzungumzia?

Hayo ni maon yangu tu lakini natumaini nitaungwa mkono huyu jamaa anajitahidi sana kutusaidia hapa jamvini kila la kheri na mungu azidi kumtia nguvu nakuombea mema Dr. Riwa nimekuwa nisomasana michango yako na ushauri wako ubarikwesana mkuu.

Ni kweli Dr.Riwa anastahili pongezi,posts zake zilinipa ujasiri hadi nikaenda kufanya HIV test .Ni kitu ambacho nilikuwa nakiogopa sana lakini kupitia hili jukwaa nikapata ujasiri na kuweza kujua afya yangu.Namshukuru Mwenyezi Mungu,nipo -ve,nawahimiza vijana wenzangu tukapime,kuwa na virusi sio mwisho wa maisha.Kwa wale wanaopenda kujifunza zaidi,kuna website hapa ina information nzuri;

POZ - POZ Magazine - POZ.com - HIV - AIDS - HIV AIDS

Nimefaidika sana na michango ya madaktari ktk jukwaa hili
akiwemo Dr. Riwa
tumekuwa tukiwalaumu sana madocta wengine kama mzizimkavu lakini hatujui ni nini kimewasibu
inawezekana ni hali ya uchumi.
nashauri kama inawezekana tuwe tunachangia kiasi fulani cha fedha kwa watu hawa muhimu ili kuwawezesha modem zao na waweze kuli access jukwaa hili .
ni wazo tu

huyu ndugu anastahili pongezi.ingawa huku mimi sio mwenyeji ila michango yake naiona.

Wandugu,

Nashukuru sana...tena sana kwa kuona na kuthamini mchango wangu hapa JF sana katika jukwaa hili la JF Doctor. Ahsanteni pia kwa dua, Husninyo ahsante 'free style'! Najitahidi kila pale ninapoweza kuchangia na/au kushea nanyi elimu hii ya utabibu na afya nikiamini kuwa kuna matatizo mengi ambayo hata wengine hawawezi kuongea na daktari wake, lakini anayamwaga hapa na tunajadili. Najua jukwaa hili lina madaktari wengine, manesi na wadau wengine mbali mbali wa afya ambao wana michango mizuuri tu, nami mara kwa mara najifunza kwao na kwa wachangiaji wengine pia! kwa kifupi ni jukwaa nilipendalo...

Nilifanya kazi kama daktari kwa miaka kadhaa Muhimbili, nikapata matatizo na mwajiri wangu (Wizara ya Afya), nikawa frustrated sana na kupractice clinical medicine, nikahamia kwenye utafiti wa masuala mbali mbali ya afya. Nimejikita zaidi kwenye 'afya ya jamii' kwa sasa, sitibu tena...hivyo sina hospitali ninayofanya kazi kwa sasa.

Lakini mara zote unapohitajika ushauri/ufafanuzi ambao upo ndani ya uwezo wangu, au issue ambayo naweza soma zaidi ili kuweza kushea nanyi nijuacho, basi karibuni kwa kuanzisha thread hapa jukwaani...au hata kwa PM...ni furaha yangu pale ninapoweza kusaidia.

ubarikiwe sana doctor...Kiukweli,mi mwenyewe umenisaidia sana! I declare kwamba you are one of the kind! Much respect Doc!

Hakika Dr.Riwa naungana na wana JF wenzangu kukupa pongezi kwa msaada unaotupa humu jamvini...KILA LA KHERI...MWENYEZI MUNGU akuzidishie

laiti jf members wangekuwa wanapitia jukwa hili kwa kweli wangepata unafuu mkubwa sana ktk mahangaiko ya matibabu yao. kila la kheri dr.riwa.

Wandugu,

Nashukuru sana...tena sana kwa kuona na kuthamini mchango wangu hapa JF sana katika jukwaa hili la JF Doctor. Ahsanteni pia kwa dua, Husninyo ahsante 'free style'! Najitahidi kila pale ninapoweza kuchangia na/au kushea nanyi elimu hii ya utabibu na afya nikiamini kuwa kuna matatizo mengi ambayo hata wengine hawawezi kuongea na daktari wake, lakini anayamwaga hapa na tunajadili. Najua jukwaa hili lina madaktari wengine, manesi na wadau wengine mbali mbali wa afya ambao wana michango mizuuri tu, nami mara kwa mara najifunza kwao na kwa wachangiaji wengine pia! kwa kifupi ni jukwaa nilipendalo...

Nilifanya kazi kama daktari kwa miaka kadhaa Muhimbili, nikapata matatizo na mwajiri wangu (Wizara ya Afya), nikawa frustrated sana na kupractice clinical medicine, nikahamia kwenye utafiti wa masuala mbali mbali ya afya. Nimejikita zaidi kwenye 'afya ya jamii' kwa sasa, sitibu tena...hivyo sina hospitali ninayofanya kazi kwa sasa.

Lakini mara zote unapohitajika ushauri/ufafanuzi ambao upo ndani ya uwezo wangu, au issue ambayo naweza soma zaidi ili kuweza kushea nanyi nijuacho, basi karibuni kwa kuanzisha thread hapa jukwaani...au hata kwa PM...ni furaha yangu pale ninapoweza kusaidia.

Heshima yako mzee, nimefurahi kusikia kuwa kwa sasa unakula tu goodtym hivyo ni rahisi kwako kuwa nasi zaidi. kweli hata mimi ni mgeni hapa jf doctor lakini nakubaliana na wote waliochangia thread hii. ushauri wangu ni kuwa kwakuwa umefanya kazi muda mrefu na formal sector, mi ningependelea katika muda mchache unaoupata nyakati hizi ujikite zaidi upande wa tiba mubadala, ningependa zaidi badala ya kutoa maelekezo ya kununua dawa fulani dukani basi upendelee kutuelimisha kuwa pengine tumia parachichi, papai au ubuyu au kitu kingine ambacho ni tiba lakini mubadala zaidi. halafu nimehangaika kupata kiswahili cha neno 'mammograms' ningeomba msaada wako. ahsante, fadhili paulo

Nakutakia afya njema DR Riwa na umri mrefu uzidi kutupa mchango wako kwenye thread hii tukufu Watu wengi wanafaidika na ushauri wako Mwenyeezi Mungu akubariki

Nimefaidika sana na michango ya madaktari ktk jukwaa hili
akiwemo Dr. Riwa
tumekuwa tukiwalaumu sana madocta wengine kama mzizimkavu lakini hatujui ni nini kimewasibu
inawezekana ni hali ya uchumi.
nashauri kama inawezekana tuwe tunachangia kiasi fulani cha fedha kwa watu hawa muhimu ili kuwawezesha modem zao na waweze kuli access jukwaa hili .
ni wazo tu
Kimenisibu Computer yangu ya Desktop Windows 7 iliingia ugonjwa wa virus na hiyo virus ikaharibu mpaka Graphic Card yangu matokeo yake nikanunua Graphic card ingine nilijaribu wiki moja nzima kutibu hayo matatizo lakini ikashindikana mpaka nikaamuwa kuiformat Computer yangu . Ndio maana sikuwa naingia kila wakati online asante sana kwa ushauri wako .

Back
Top Bottom