Dr. Robert Charles Gallo: The man who created AIDS

Mtu Wa Kwanza Kufanyiwa Majaribio Ya Hivi Virusi Ni Shoga Mfungwa Wa Huko Marekani Na Ndio Ukimwi Uliko Anzia Na Dawa Wao Wanayo. Ila Sijajua Mpaka Leo Ulifikaje Fikaje Afrika. NA NDIO IKAAMULIWA ITUMIKE KWENYE N.W.O Cha Ajabu Na Kushangaza Tunawashabikia Sana Wazungu Bila Kujielewb.
MAREKANI INAONGOZA NA MIFUMO YA KISHETANI. SATANIC SYSTEM
 
Nijuavyo mimi ni kwamba hawa jamaa hawana njia moja ya kupunguza watu hapa duniani...kuua watu wao ndio ibada yao...hata ikibidi na wao wafe sio tatizo....ni Dini za Kishetani ala kulli hali.....tembeleeni hii link..... DEPOPULATION AGENDA
 

SATANIC SYSTEM, KU KLAX KLAN, KNIGHT TEMPLERS,MASONIC ,SKULL & BONE ,NIGGERS etc. ni makundi hatari sana.
 
Nijuavyo mimi ni kwamba hawa jamaa hawana njia moja ya kupunguza watu hapa duniani...kuua watu wao ndio ibada yao...hata ikibidi na wao wafe sio tatizo....ni Dini za Kishetani ala kulli hali.....tembeleeni hii link..... DEPOPULATION AGENDA

Nini la kufanya tuepukane na uhuni wa makundi ya kisheteni kama haya.
 
Kwa nini sisi tusitafute dawa? Kwani dawa lazima watutafutie wao? Wasipotutafutia je?

Na hawako tayari kutafuta tiba maana hizi foundations, condoms na ARVs zinawafanya trillionaires.
 
Wiki mbili zilizopita nilianzisha uzi humu, katika uzi huo nilihoji kama Tanzania kuna wanasayansi, ama hakika sikupata jibu.

Tutakufa sawa lakini watatumilaza kwanza waafrika,,,! eti na sisi tunajiita tunawasomi,
usomi wetu uko wap?
 
Ndiyo maana hata sasa ni vigumu kuamini kuwa America imemuua Osama Bin Laden ,maana huyu jamaa wakati Urusi inasonga mbele kule afghanistan America ilikuwa inamtumia huyu Bwana kama kuwasaidia waafghanistan dhidi ya Urusi.

Na kwenda mbele hata kuanguka kwa Majengo pacha ya WTC bado ni vugumu kuamini kuwa Serikali Marekani haikuwa na mkono kwenye tukio husika.
The 11 Most Compelling 9/11 Conspiracy Theories | News One


I CREATED AIDS to DELIBERATELY DEPOPULATE HUMANITY ...


Robert Gallo and the History of HIV
 
Hakuna jambo gumu kama kwenda kinyume na mafundisho rasmi(there is no difficult thing as to 'unlearn').Inakupasa uwe na uwezo au uelewa wa ziada ili kufanikisha hili,Sikonge nakupongeza kwa kuweza 'ku-UNLEARN'.Sisi watu wa dunia ya tatu tunaposikia/kuona kitu kipya ambacho ni kinyume na tulivyofundishwa na 'mainstream' huwa tunaanza kupinga kabla ya kutafakari(what a blunt brain do we have!!).Mimi nasema kwa kujiamini kabisa kwa kuwa nimeshafanya utafiti kwamba HIV hasababishi UKIMWI.Nina mambo mengi sana ya kusema kuhusu hili,lakini nitawapa mfano mmoja wale wanaopenda kupinga kabla ya kutafakari.

Hivi watu wameshawahi kujiuliza ni kwa vipi mtoto ndani ya tumbo la mama mwenye mimba aliyeathirika na ukimwi anawezaje kuzaliwa bila virusi?Mtoto akiwa tumboni mwa mama anapata damu,hewa ya oxygen na chakula kupitia mishipa ya ateri na vena moja kwa moja kutoka kwa mama yake,sasa watu waliwahi kutumia 'common sense' kujiuliza inawezekana vipi?

Hebu tusiwe malimbukeni jamani,tupende kujifunza vitu tofauti,tabia ya kupinga inaweza kukusababishia kifo.Mimi leo nikianzisha mada kwamba cancer yoyote inatibika najua watu wataanza kupinga kabla ya kujiuliza kwa vipi.Tunadanganywa mambo mengi sana na kama tutaendelea na tabia hii ya kupinga kabla ya kujiuliza muda utafika race yetu haitakuwepo juu ya ardhi.
 

Nakubaliana nawe, kwa asilimia Kadhaa, but nimesoma ulichopost kiasi, kwamba ukimwi wasababishwa na uvutaji wa sigara, ngono, utapiamlo nk, but Kuna watu nimeishi nao kwa Muda mrefu, akiwamo. My grandma ni wavutaji wakubwa wa fegi na pombe lakini hajawahi Pata ukimwi, ?? My question is what is exactly causes of UKIMWI???
 

Hiki kitu kimenisumbua sana akili. Hivi inakuwaje dr wa marekakani au niseme ulaya akipat maambukizi anarudishwa kwao faster na anapona baada ya matibabu?

Lakini hawa waafrika walipelekw hukohuko na still bado wamekifa ina maana hiyo dawa inachagua?inafanya kazi kwa wazungu tu? Yaani hivi vitu vimesumbua akili yangu.
 

Nimejikuta nina hasira
 
Nimejikuta nina hasira
Usiwe na hasira Christine maana ukijua yote wanayotufanyia hawa jamaa wa magaribi sisi watu weusi utatamani uwamalize wote kwa mabomu ya nyuklia kama you're in a possession of them. Kama wanajaribu kutuua kwa vitu ambavyo wanavitengeneza makusudi je wadhani wataacha kutubagua hawa? Discrimination and humiliation on blacks will never end untill Jesus shows up for a second time.
 
Haha blacks are doomed, have you ever had any black messiah? That's wy we will never survive anything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…