Hakuna jambo gumu kama kwenda kinyume na mafundisho rasmi(there is no difficult thing as to 'unlearn').Inakupasa uwe na uwezo au uelewa wa ziada ili kufanikisha hili,Sikonge nakupongeza kwa kuweza 'ku-UNLEARN'.Sisi watu wa dunia ya tatu tunaposikia/kuona kitu kipya ambacho ni kinyume na tulivyofundishwa na 'mainstream' huwa tunaanza kupinga kabla ya kutafakari(what a blunt brain do we have!!).Mimi nasema kwa kujiamini kabisa kwa kuwa nimeshafanya utafiti kwamba HIV hasababishi UKIMWI.Nina mambo mengi sana ya kusema kuhusu hili,lakini nitawapa mfano mmoja wale wanaopenda kupinga kabla ya kutafakari.
Hivi watu wameshawahi kujiuliza ni kwa vipi mtoto ndani ya tumbo la mama mwenye mimba aliyeathirika na ukimwi anawezaje kuzaliwa bila virusi?Mtoto akiwa tumboni mwa mama anapata damu,hewa ya oxygen na chakula kupitia mishipa ya ateri na vena moja kwa moja kutoka kwa mama yake,sasa watu waliwahi kutumia 'common sense' kujiuliza inawezekana vipi?
Hebu tusiwe malimbukeni jamani,tupende kujifunza vitu tofauti,tabia ya kupinga inaweza kukusababishia kifo.Mimi leo nikianzisha mada kwamba cancer yoyote inatibika najua watu wataanza kupinga kabla ya kujiuliza kwa vipi.Tunadanganywa mambo mengi sana na kama tutaendelea na tabia hii ya kupinga kabla ya kujiuliza muda utafika race yetu haitakuwepo juu ya ardhi.