dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,172
- 3,082
Wazanzibar wengi wanaugulia machungu ya ubaguzi toka kwa watanganyika Dr. Salim ni mfano mzuri ya wahanga wa ubaguzi toka kwa watanganyika
Dunia inamfahamu Dr. Salim kama mwana diplomasia nguli ktk ukanda huu kwani ameshiza nafanyi nyeti kuanzia OAU na baadae UN na kama si figisu za wamarekani angelikua mwafrika wa kwanza kushika wadhifa wa ukatibu mkuu wa UN
Na aliporudi nchini mwana diplomasia huyu alijitosa ktk kinyanganyiro cha Urais kwa mategemeo makubwa na kujiamini kutokana na sifa zake Kimataifa na kwa yale aliyowatendea wa Tanzania.
Lakini kwa mshangao mkubwa alikutana na machungu ya ubaguzi kwa uzanzibar wake na kwa rangi yake. Aliitwa mgeni jamaa zake wapo Oman kwa hivyo wanaostahiki kukamata nafasi hiyo ni waruguru.Wagogo,wamatumbi,wahehe na wengineo!!Uzanzibar na rangi yake vilimponza Mwanadiplomasia huyu nguli
Ubaguzi huu bado upo ktk mishipa ya watanganyika wengi hivi sasa mmasai toka Monduli alioingia visiwani kwa mwenge asiyekijua hata kiswahili atathaminika kuliko mzanzibar ambae kizazi chake kina mpaka miaka mia mbili toka kuingia visiwani humu
Watanganyika wajua fika kwamba Zanzibar ni cosmopolitan country jamii toka maeneo tafauti duniani waliunganisha tamaduni Zanzibar hatimae wakaja na utamaduni wa aina ya mseto toka kila pembe ya dunia na hatimaye walisifika duniani kote kwa ustaarabu wao
Vyakula vyao
Mavazi yao
Na lugha yao adhimu ya kiswahili.
Hivyo nguvu za Zanzibar zilipasua anga hadi maziwa makuu Zanzibar ikawafundisha watu ustaarabu wa kuvaa kupika kuzungumza nk nk athari ya Zanzibar ikajaa maziwa makuu kiujumla na khasa kwa Tangannyika
Kipindi hicho ndipo ilipokewa ktk misamiati ya lugha yetu tamu kama msemo usemao:
Zumari likipulizwa Zanzibar huemkwa (huchez ) walio maziwa makuu
Zanzibar ni njema atae na ajee
Kipindi hicho wazanzibar hawakuwa wanafunga nyumba zao wakitoka wakati huo mzanzibar akipoteza kipochi chake anaenda nyumbani kusikiliza matangazo ya radio aijua tuu aliekiokota ataenda kukitangaza radioni
Hivi sasa tumekuwa wakimbizi katik nchi yetu hakuna staha tena harufu inayo zagaa ni pombe toka tanganyika ukahaba toka tangannyika na Kiswahili kichafu cha kitanganyika husikii tena inapofika jioni harufu za marashi ya karafuu
Harifu ya vikuba
Harufu ya asumuni
Wala harufu ya milangi langi
Harufu iliyozagaa ni ugoro wa kimasai na vinyago vilivyotapakaa kila kona
Mama zanzibar tulikupenda mama lakini watanganyika wamekupenda zaid
#Free zanziba
#Bring our nation back
#Go home mtanganyika
Wenu mwanaharakati huru dega