Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Morroco kama sio waafrika kombe la dunia wangeenda kufuzu uarabuni kilichowafanya wafuzu kupitia CAF ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejaza bara kama sisimizi magomeni,kigamboni,mbagala wanaishi safi kabisa wewe mtanzania bara nenda kwao uone wanavyokutengaShida unawasumbua udini na elimu ninyi hadi mnaona wabara sio watu na waarabu ndo ndugu zenu
Sentence ya Mwisho ndio ulikua ujumbe wake, lakini alikua cautious ili asiwaharibie wapemba waliojazana Kariakoo...Pia jamaa si mbaguzi tuu pia anawahita Watanganyika ni wachafu ,wamepereka harufu mbaya na lafudhi mbaya Zanzibar. Binafsi post kama hii inaniambia ni nini kinaendelea kwenye jamii yake, huyu Kawa na guts ya kuandika lakini walio wengi ndio waliyonayo moyoni kuhusu Tanganyika...Hii Chuki inakua kila kukicha... nadhan kuna haja ya kufanya referendum ili tuamue kama muungano huu unafaa au la...manake nimeshaona post nyingi sana humu za kulaumiana... this has to stop.Kuandika uzi na kujenga hoja kipaji ambacho sio watu wengi wanacho, mara SAS amebaguliwa na watanzania bara, mara Zanzibar ndio baba na mama wa ustaarabu ukanda huu. kichekesho mwisho wa uzi unageuka kuwa mbaguzi namba moja kwa kusema #Free Zanzibar #Bring our nation back #Go home mtanganyika.
Kumbe hivi ndivyo ilivyokuwa, nilikuwa nikijua ni wanamtandao!Ndg uliyeleta uzi hujui siasa za Zanzibar.
Salim H Salim aliheshimiwa saana Tanzania na kweli alifaa kuwa Rais wa Tz 100%.
Walimwangusha ni Wazenji wenyewe.
Kuna wazee Brg Natepe, Mzee Thabit Kombo nk
walimjaza Mwl Nyerere maneno kuwa Salim ni wa Oman.
Wakambwaga Nec ya CCM.
Wabara unawaonea hawakuhusika, tuliza munkali ndg!!