Dr. Salim Ahmed Salim(SAS), Mzanzibar aliyeonja machungu ya kiubaguzi ya Watanganyika

Ninachofahamu ni kwamba Salim ndiye alikuwa chaguo la Mwalimu la mrithi wake; na Bara Salim na Sokoine ndiyo wanaongoza katika kuheshimika kati ya waliowahi kushika nafasi ya Waziri Mkuu. Ninachojua ni kwamba kwenye mkutano wa uteuzi wa mgombea urais, chaguo la Mwalimu lilikuwa Salim. Timu ya kutoka Zanzibar ilikuwa haimpendi Salim kwa kuwa ni Mpemba na walikuwa wanamshuku kuhusika na mauaji ya Mzee Karume. Ingawa jina la Mwinyi lilipendekezwa, ilitegemewa iwe gelesha tu. Mzee Mwinyi alikuwa akatae pendekezo hilo na pendekezo linalofuatia lilikuwa liwe Salim. Lakini Mzee Ruksa hakukataa pendekezo na ndiyo ukawa mwisho wa Salim. Vivyo hivyo baada ya Mwinyi, Salim hakuwa akiungwa mkono na Zanzibar lakini kwa Bara anaungwa mkono.
Hawa wengine Ni watoto wa juzi hawaiui chochote waliombagua Salim Ni wazanzibar tena waunguja
 
Wazanzibar wengi wanaugulia machungu ya ubaguzi toka kwa watanganyika Dr. Salim ni mfano mzuri ya wahanga wa ubaguzi toka kwa watanganyika

Dunia inamfahamu Dr. Salim kama mwana diplomasia nguli ktk ukanda huu kwani ameshiza nafanyi nyeti kuanzia OAU na baadae UN na kama si figisu za wamarekani angelikua mwafrika wa kwanza kushika wadhifa wa ukatibu mkuu wa UN

Na aliporudi nchini mwana diplomasia huyu alijitosa ktk kinyanganyiro cha Urais kwa mategemeo makubwa na kujiamini kutokana na sifa zake Kimataifa na kwa yale aliyowatendea wa Tanzania.

Lakini kwa mshangao mkubwa alikutana na machungu ya ubaguzi kwa uzanzibar wake na kwa rangi yake. Aliitwa mgeni jamaa zake wapo Oman kwa hivyo wanaostahiki kukamata nafasi hiyo ni waruguru.Wagogo,wamatumbi,wahehe na wengineo!!Uzanzibar na rangi yake vilimponza Mwanadiplomasia huyu nguli

Ubaguzi huu bado upo ktk mishipa ya watanganyika wengi hivi sasa mmasai toka Monduli alioingia visiwani kwa mwenge asiyekijua hata kiswahili atathaminika kuliko mzanzibar ambae kizazi chake kina mpaka miaka mia mbili toka kuingia visiwani humu

Watanganyika wajua fika kwamba Zanzibar ni cosmopolitan country jamii toka maeneo tafauti duniani waliunganisha tamaduni Zanzibar hatimae wakaja na utamaduni wa aina ya mseto toka kila pembe ya dunia na hatimaye walisifika duniani kote kwa ustaarabu wao

Vyakula vyao

Mavazi yao

Na lugha yao adhimu ya kiswahili.

Hivyo nguvu za Zanzibar zilipasua anga hadi maziwa makuu Zanzibar ikawafundisha watu ustaarabu wa kuvaa kupika kuzungumza nk nk athari ya Zanzibar ikajaa maziwa makuu kiujumla na khasa kwa Tangannyika

Kipindi hicho ndipo ilipokewa ktk misamiati ya lugha yetu tamu kama msemo usemao:

Zumari likipulizwa Zanzibar huemkwa (huchez ) walio maziwa makuu

Zanzibar ni njema atae na ajee

Kipindi hicho wazanzibar hawakuwa wanafunga nyumba zao wakitoka wakati huo mzanzibar akipoteza kipochi chake anaenda nyumbani kusikiliza matangazo ya radio aijua tuu aliekiokota ataenda kukitangaza radioni

Hivi sasa tumekuwa wakimbizi katik nchi yetu hakuna staha tena harufu inayo zagaa ni pombe toka tanganyika ukahaba toka tangannyika na Kiswahili kichafu cha kitanganyika husikii tena inapofika jioni harufu za marashi ya karafuu

Harifu ya vikuba

Harufu ya asumuni

Wala harufu ya milangi langi

Harufu iliyozagaa ni ugoro wa kimasai na vinyago vilivyotapakaa kila kona

Mama zanzibar tulikupenda mama lakini watanganyika wamekupenda zaid

#Free zanziba

#Bring our nation back

#Go home mtanganyika

Wenu mwanaharakati huru dega

Mkuu, hivi mwaka 1985 ni Watanganyika walimzuia asiwe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Ahsante
 
Utakuwa Mtoto au usiejua kufuatilia mambo. Kwenye Cc ya Ccm2005 wajumbe wa Zanzibar ndo walimnanga waziwazi Salim kuwa ni 'Hizb' na kuwa atarudisha utumwa! Na waliyasema kama 'timu'. Na hilo tayari likawapa mahasimu wake (soma wanamtandao) fursa ya kujiimarisha kwenye kura za Nec. Na kwa mazoea ya chama, kura za Nec na alama za mgombea kutoka Cc hutoa mwelekeo wa mshindi wa uchaguzi.

Na ukumbuke Salim alishika nafasi ya pili wakati wa kura. Kama angekuwa anabaguliwa na Watanganyika asingepata hata nafasi ya nne kwa kuzingatia idadi ya wajumbe wa bara.

Salim alibyaguliwa na ndugu zake wenyewe!

Halafu bara hatuna ubaguzi ndiyo maana Marais wenu wakistaafu huhakikisha wana maskani bara

Hao wanaoitwa CCM Zanzibar unaosema walimnanga Salim ndio mapandikizi wenyewe. Kazi kubwa ni kuwafarakanisha Wazanzibari. Ndani ya CCM wameshika chama na huonekana kama Wazanzibari kumbe ni yoyoyo. Na kule Serikalini ni vivyo hivyo. Wamejipanga kwa kutumia HISTORIA YA ZANZIBAR wanacheza siasa za kibaguzi na kupitisha maamuzi ya kibaguzi ya kiserikali ili Wazanzibari wavurugane wenyewe na wao wanapita kati kati . Ukisikia kamati na jumuiya za maamuzi ndani ya CCM Zanzibar basi zaidi ya asimia 70% za hao wajumbe utakuta ni mapandikizi. Nenda kafanye study kama utazipata utaona vizuri.

Majina na makaazi ni Zanzibar lakini malengo na mikakati iko Bara. Huo ndio ukweli. Na hawa wanafanyia kazi kauli " SERIKALI 2 KUELEKEA 1" Bado kidogo tu malengo yafikiwe.

Zanzibar kuna shida.
 
Ndg uliyeleta uzi hujui siasa za Zanzibar.
Salim H Salim aliheshimiwa saana Tanzania na kweli alifaa kuwa Rais wa Tz 100%.
Walimwangusha ni Wazenji wenyewe.
Kuna wazee Brg Natepe, Mzee Thabit Kombo nk
walimjaza Mwl Nyerere maneno kuwa Salim ni wa Oman.
Wakambwaga Nec ya CCM.
Wabara unawaonea hawakuhusika, tuliza munkali ndg!!
 
Mkuu usiumize kichwa sana, tatizo ni "Mfumo" Mfumo huo umejichimbia kila nyanja na kila eneo. Siku yalipofanyika Mapinduzi ilikuwa ni hatua ya kwanza ya kuizika Zanzibar, Ulipofanyika Muungungano mwaka 1964 ilikuwa ni hatua ya pili ya kuizonga zanzibar, Siku ilipounganishwa ASP na TANU na kuja CCM ilikuwa ni pigo la mwisho la kuimaliza Zanzibar. Kupitia mambo hayo. Zanzibar imepoteza kila chake.

Huyu Salim ni muhanga wa hayo. MFUMO ndio unaimaliza Zanzibar.

Hao mnaowaona wakuu wa CCM Zanzibar wako kimkakati, ni Mapandikizi waliowekwa kwa huo msemo ulioutoa.

" Zanzibar ni njema Atakae na aje" Wenzenu wanajuwa wanachokifanya.
Kwa kweli inauma sana lkn tuna deni kwa kizazi chetu kama tutaendelea kukubaliana na udhalimu huu
 
Wazanzibar Wana matatizo Sana.
Sisi tunamatatizo sababu tunausema udhalimu wenu mlitaka tuendelee kuwaridhia tuu si ndio?? Ili usituone kwamba tuna matatizo
 
Ninachofahamu ni kwamba Salim ndiye alikuwa chaguo la Mwalimu la mrithi wake; na Bara Salim na Sokoine ndiyo wanaongoza katika kuheshimika kati ya waliowahi kushika nafasi ya Waziri Mkuu. Ninachojua ni kwamba kwenye mkutano wa uteuzi wa mgombea urais, chaguo la Mwalimu lilikuwa Salim. Timu ya kutoka Zanzibar ilikuwa haimpendi Salim kwa kuwa ni Mpemba na walikuwa wanamshuku kuhusika na mauaji ya Mzee Karume. Ingawa jina la Mwinyi lilipendekezwa, ilitegemewa iwe gelesha tu. Mzee Mwinyi alikuwa akatae pendekezo hilo na pendekezo linalofuatia lilikuwa liwe Salim. Lakini Mzee Ruksa hakukataa pendekezo na ndiyo ukawa mwisho wa Salim. Vivyo hivyo baada ya Mwinyi, Salim hakuwa akiungwa mkono na Zanzibar lakini kwa Bara anaungwa mkono.
Hivi unafikir zWazanzibar wanashirikishwa ktk mchakato wakutafuta rais wa ZANZIBAR??
Au wa Tangannyika??
 
Nikipata muda huwa nafuatilia siasa za Zanzibar sana. Kule siasa ni zaidi ya Utanzania. Ukifanya study utabaini nini hasa Wazanzibari wanataka. Kwanza wana hoja lakini hazisikilizwi na watawala wa upande wa Muungano. Hata huko SMZ wenyewe ukiwapata kindaki ndaki wanapinga namna mambo yanavyoendeshwa kwenye Muungano na CCM.

Mapandikizi yaliopo Zanzibar ni mengi na yanafanana kwa majina na tabia za Wazanzibari wenyewe. Lkn wako huko kwa kazi maalumu. Huwezi kuamini ndani ya SMZ kwa asilimia zaidi ya 50% watendaji na wenye maamuzi mizizi yao haiko Zanzibar. Naogopa kuitwa mchochezi. Kuna mambo mengi nayajuwa huko. Nimekuwa mfuatiliaji sana wa siasa za Zanzibar. kitambo.

Wazanzibari wana shida.
Nakubaliana na ww kwa asilimia mia
Adui namba moja wa ustawi wa ZANZIBAR MTANGANYIKA aliepo ZANZIBAR
 
Hii sikubaliani nayo kabisa kwa sababu zifuatazo.
Kwanza Raisi ya pili Mzee Mwinyi ni mzanzibari na alikuwa raisi wa nchi hii.
Sababu ya pili ndani ya nchi hii kuna waarabu, wahindi na hata wasomali ambao sio wazawa wa Zanzibar na wapo madarakani, delta binafsi na ni matajiri na hawabagukiwi. Tena wanapewa heshima kubwa na jamii.
Ukienda uhamiajii pale wanaogoza kwa kupewa passport ni wahindi, waarabu na wazanzibari.
Suala la Dr. Salim kutopata uraisi ni suala la Kisiasa na sio kwamba tumemuangusha. Toka tunasoma shule tunamfahamu kwa umahiri wake haswa kuwa kiongozi aliye kaa mda mrefu kwenye kiti cha umoja wa Afrika.
Nakusihi fuatilia zaidi
Mimi naongea kwa data ww waongea kwa kufikir Dr.Salimu kukataliwa kwa sababu ya rangi yake hilo lipo wazi na limestone si ISSUE ya kufikirika rejea historia kuna watu walikua wakipandishwa kwenye majukwaa na kumu attack wazi wazi na si jambo la siri
 
View attachment 1220641

Hao ndo wazanzibar wanaompenda SAS.

Nyie jamaa wanafiki tu.

(Hilo bango lilipita mbele ya Dr Shein kwenye sherehe ya kitaifa)
Hao waliombagua Salimu bado wanaendelea na dhambi hiyo na wapishi wa yote ni Men from Tangannyika
 
Utakuwa Mtoto au usiejua kufuatilia mambo. Kwenye Cc ya Ccm2005 wajumbe wa Zanzibar ndo walimnanga waziwazi Salim kuwa ni 'Hizb' na kuwa atarudisha utumwa! Na waliyasema kama 'timu'. Na hilo tayari likawapa mahasimu wake (soma wanamtandao) fursa ya kujiimarisha kwenye kura za Nec. Na kwa mazoea ya chama, kura za Nec na alama za mgombea kutoka Cc hutoa mwelekeo wa mshindi wa uchaguzi.

Na ukumbuke Salim alishika nafasi ya pili wakati wa kura. Kama angekuwa anabaguliwa na Watanganyika asingepata hata nafasi ya nne kwa kuzingatia idadi ya wajumbe wa bara.

Salim alibyaguliwa na ndugu zake wenyewe!

Halafu bara hatuna ubaguzi ndiyo maana Marais wenu wakistaafu huhakikisha wana maskani bara
Wapinzani wa Salim ktk kinyanganyiro hicho ndio waliofanya hayo wakisaidia na vijana wa propaganda toka Lumumba
 
Wazanzibar wengi wanaugulia machungu ya ubaguzi toka kwa watanganyika Dr. Salim ni mfano mzuri ya wahanga wa ubaguzi toka kwa watanganyika

Dunia inamfahamu Dr. Salim kama mwana diplomasia nguli ktk ukanda huu kwani ameshiza nafanyi nyeti kuanzia OAU na baadae UN na kama si figisu za wamarekani angelikua mwafrika wa kwanza kushika wadhifa wa ukatibu mkuu wa UN

Na aliporudi nchini mwana diplomasia huyu alijitosa ktk kinyanganyiro cha Urais kwa mategemeo makubwa na kujiamini kutokana na sifa zake Kimataifa na kwa yale aliyowatendea wa Tanzania.

Lakini kwa mshangao mkubwa alikutana na machungu ya ubaguzi kwa uzanzibar wake na kwa rangi yake. Aliitwa mgeni jamaa zake wapo Oman kwa hivyo wanaostahiki kukamata nafasi hiyo ni waruguru.Wagogo,wamatumbi,wahehe na wengineo!!Uzanzibar na rangi yake vilimponza Mwanadiplomasia huyu nguli

Ubaguzi huu bado upo ktk mishipa ya watanganyika wengi hivi sasa mmasai toka Monduli alioingia visiwani kwa mwenge asiyekijua hata kiswahili atathaminika kuliko mzanzibar ambae kizazi chake kina mpaka miaka mia mbili toka kuingia visiwani humu

Watanganyika wajua fika kwamba Zanzibar ni cosmopolitan country jamii toka maeneo tafauti duniani waliunganisha tamaduni Zanzibar hatimae wakaja na utamaduni wa aina ya mseto toka kila pembe ya dunia na hatimaye walisifika duniani kote kwa ustaarabu wao

Vyakula vyao

Mavazi yao

Na lugha yao adhimu ya kiswahili.

Hivyo nguvu za Zanzibar zilipasua anga hadi maziwa makuu Zanzibar ikawafundisha watu ustaarabu wa kuvaa kupika kuzungumza nk nk athari ya Zanzibar ikajaa maziwa makuu kiujumla na khasa kwa Tangannyika

Kipindi hicho ndipo ilipokewa ktk misamiati ya lugha yetu tamu kama msemo usemao:

Zumari likipulizwa Zanzibar huemkwa (huchez ) walio maziwa makuu

Zanzibar ni njema atae na ajee

Kipindi hicho wazanzibar hawakuwa wanafunga nyumba zao wakitoka wakati huo mzanzibar akipoteza kipochi chake anaenda nyumbani kusikiliza matangazo ya radio aijua tuu aliekiokota ataenda kukitangaza radioni

Hivi sasa tumekuwa wakimbizi katik nchi yetu hakuna staha tena harufu inayo zagaa ni pombe toka tanganyika ukahaba toka tangannyika na Kiswahili kichafu cha kitanganyika husikii tena inapofika jioni harufu za marashi ya karafuu

Harifu ya vikuba

Harufu ya asumuni

Wala harufu ya milangi langi

Harufu iliyozagaa ni ugoro wa kimasai na vinyago vilivyotapakaa kila kona

Mama zanzibar tulikupenda mama lakini watanganyika wamekupenda zaid

#Free zanziba

#Bring our nation back

#Go home mtanganyika

Wenu mwanaharakati huru dega
Dega, mimi mwenyewe siupendi kabisa muungano huu wa kinyonyaji dhidi ya Tanganyika. Lakini Dr Salim A Salim alibaguliwa na WaZanzibari wenzake wala si waTanganyika . Salim anaheshimika Tanganyika zaidi Zanzibar ambako ni asili yake . Salim alikwezwa zaidi na Nyerere kuliko mwingine yeyote. Chuunguza vizuri
 
Wazanzibar wengi wanaugulia machungu ya ubaguzi toka kwa watanganyika Dr. Salim ni mfano mzuri ya wahanga wa ubaguzi toka kwa watanganyika

Dunia inamfahamu Dr. Salim kama mwana diplomasia nguli ktk ukanda huu kwani ameshiza nafanyi nyeti kuanzia OAU na baadae UN na kama si figisu za wamarekani angelikua mwafrika wa kwanza kushika wadhifa wa ukatibu mkuu wa UN

Na aliporudi nchini mwana diplomasia huyu alijitosa ktk kinyanganyiro cha Urais kwa mategemeo makubwa na kujiamini kutokana na sifa zake Kimataifa na kwa yale aliyowatendea wa Tanzania.

Lakini kwa mshangao mkubwa alikutana na machungu ya ubaguzi kwa uzanzibar wake na kwa rangi yake. Aliitwa mgeni jamaa zake wapo Oman kwa hivyo wanaostahiki kukamata nafasi hiyo ni waruguru.Wagogo,wamatumbi,wahehe na wengineo!!Uzanzibar na rangi yake vilimponza Mwanadiplomasia huyu nguli

Ubaguzi huu bado upo ktk mishipa ya watanganyika wengi hivi sasa mmasai toka Monduli alioingia visiwani kwa mwenge asiyekijua hata kiswahili atathaminika kuliko mzanzibar ambae kizazi chake kina mpaka miaka mia mbili toka kuingia visiwani humu

Watanganyika wajua fika kwamba Zanzibar ni cosmopolitan country jamii toka maeneo tafauti duniani waliunganisha tamaduni Zanzibar hatimae wakaja na utamaduni wa aina ya mseto toka kila pembe ya dunia na hatimaye walisifika duniani kote kwa ustaarabu wao

Vyakula vyao

Mavazi yao

Na lugha yao adhimu ya kiswahili.

Hivyo nguvu za Zanzibar zilipasua anga hadi maziwa makuu Zanzibar ikawafundisha watu ustaarabu wa kuvaa kupika kuzungumza nk nk athari ya Zanzibar ikajaa maziwa makuu kiujumla na khasa kwa Tangannyika

Kipindi hicho ndipo ilipokewa ktk misamiati ya lugha yetu tamu kama msemo usemao:

Zumari likipulizwa Zanzibar huemkwa (huchez ) walio maziwa makuu

Zanzibar ni njema atae na ajee

Kipindi hicho wazanzibar hawakuwa wanafunga nyumba zao wakitoka wakati huo mzanzibar akipoteza kipochi chake anaenda nyumbani kusikiliza matangazo ya radio aijua tuu aliekiokota ataenda kukitangaza radioni

Hivi sasa tumekuwa wakimbizi katik nchi yetu hakuna staha tena harufu inayo zagaa ni pombe toka tanganyika ukahaba toka tangannyika na Kiswahili kichafu cha kitanganyika husikii tena inapofika jioni harufu za marashi ya karafuu

Harifu ya vikuba

Harufu ya asumuni

Wala harufu ya milangi langi

Harufu iliyozagaa ni ugoro wa kimasai na vinyago vilivyotapakaa kila kona

Mama zanzibar tulikupenda mama lakini watanganyika wamekupenda zaid

#Free zanziba

#Bring our nation back

#Go home mtanganyika

Wenu mwanaharakati huru dega
Ninadhani historia uijuwayo wewe kuhusu mheshimiwa Salim iko kinyume kabisa. Hebu uliza uambiwe au soma historia ya siasa za ZNZ ndiyo uanze kubwabwaja.
Mwalimu ndiye alikuwa baba yake wa kisiasa na yeye ndiye aliyemlea kisiasa mpaka akafika alipofika . Iweje bara wambague???? Kwani hivi sasa anaishi wapi?????
 
Hivi unafikir zWazanzibar wanashirikishwa ktk mchakato wakutafuta rais wa ZANZIBAR??
Au wa Tangannyika??
Katika kutafuta Rais wa Zanzibar, Wazanzibari ndiyo wanaochagua na si kushirikishwa tu. Kuhusu Tanganyika, nchi hiyo ilikufa tarehe 26 Aprili 1964. Hivi sasa hakuna nchi hiyo na hakuna uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo. Kwa nchi ya Tanzania, Wazanzibari have a big say katika mchakato wa Rais wa nchi hiyo. Kama nilivyofafanua katika bandiko langu unalolijibu, Salim ndiye angemrithi Mwalimu katika Urais badala ya Mzee Mwinyi kama kauli ya Zanzibar isingekuwepo.
 
Porojo nyingi hakuna cha maana.uko radhi uone hata mtu anatoka arabuni aje kuwa rais kisa imani yako.bure kabisa!
Wazanzibar wengi wanaugulia machungu ya ubaguzi toka kwa watanganyika Dr. Salim ni mfano mzuri ya wahanga wa ubaguzi toka kwa watanganyika

Dunia inamfahamu Dr. Salim kama mwana diplomasia nguli ktk ukanda huu kwani ameshiza nafanyi nyeti kuanzia OAU na baadae UN na kama si figisu za wamarekani angelikua mwafrika wa kwanza kushika wadhifa wa ukatibu mkuu wa UN

Na aliporudi nchini mwana diplomasia huyu alijitosa ktk kinyanganyiro cha Urais kwa mategemeo makubwa na kujiamini kutokana na sifa zake Kimataifa na kwa yale aliyowatendea wa Tanzania.

Lakini kwa mshangao mkubwa alikutana na machungu ya ubaguzi kwa uzanzibar wake na kwa rangi yake. Aliitwa mgeni jamaa zake wapo Oman kwa hivyo wanaostahiki kukamata nafasi hiyo ni waruguru.Wagogo,wamatumbi,wahehe na wengineo!!Uzanzibar na rangi yake vilimponza Mwanadiplomasia huyu nguli

Ubaguzi huu bado upo ktk mishipa ya watanganyika wengi hivi sasa mmasai toka Monduli alioingia visiwani kwa mwenge asiyekijua hata kiswahili atathaminika kuliko mzanzibar ambae kizazi chake kina mpaka miaka mia mbili toka kuingia visiwani humu

Watanganyika wajua fika kwamba Zanzibar ni cosmopolitan country jamii toka maeneo tafauti duniani waliunganisha tamaduni Zanzibar hatimae wakaja na utamaduni wa aina ya mseto toka kila pembe ya dunia na hatimaye walisifika duniani kote kwa ustaarabu wao

Vyakula vyao

Mavazi yao

Na lugha yao adhimu ya kiswahili.

Hivyo nguvu za Zanzibar zilipasua anga hadi maziwa makuu Zanzibar ikawafundisha watu ustaarabu wa kuvaa kupika kuzungumza nk nk athari ya Zanzibar ikajaa maziwa makuu kiujumla na khasa kwa Tangannyika

Kipindi hicho ndipo ilipokewa ktk misamiati ya lugha yetu tamu kama msemo usemao:

Zumari likipulizwa Zanzibar huemkwa (huchez ) walio maziwa makuu

Zanzibar ni njema atae na ajee

Kipindi hicho wazanzibar hawakuwa wanafunga nyumba zao wakitoka wakati huo mzanzibar akipoteza kipochi chake anaenda nyumbani kusikiliza matangazo ya radio aijua tuu aliekiokota ataenda kukitangaza radioni

Hivi sasa tumekuwa wakimbizi katik nchi yetu hakuna staha tena harufu inayo zagaa ni pombe toka tanganyika ukahaba toka tangannyika na Kiswahili kichafu cha kitanganyika husikii tena inapofika jioni harufu za marashi ya karafuu

Harifu ya vikuba

Harufu ya asumuni

Wala harufu ya milangi langi

Harufu iliyozagaa ni ugoro wa kimasai na vinyago vilivyotapakaa kila kona

Mama zanzibar tulikupenda mama lakini watanganyika wamekupenda zaid

#Free zanziba

#Bring our nation back

#Go home mtanganyika

Wenu mwanaharakati huru dega
 
Hao tulishawazoea kulialia ni stahili yao ya maisha wanashindwa kupambana ukiwauliza mnataka nini ? Hawa cha kusema. Mmezuiwa nini msifanye kwa sababu ya uzanzibar wenu , kazi kuvaa misuli na maneno hawapishani na wanawake, tena wanawake wa zanzibar wana akili kuliko midume mingi. Anyway Endeleeni kulia
 
Nani analia??hatutokupigia magoti kamwe mtanganyika usietosheka na kile ulichopewa na Mungu kama mirasilimali yote uliyonayo bado unanuka umasikini mpka kwenye kope nitaanzaje kukulilia km makilomita ya mraba uliyonayo hayakutoeni ktk umaskini mnakuja kuturamba nyayo tuwaajir kuchimba mitaro tutaanzaje kuwalilia km Mganda anatoa vitu bandari ya Dar kisha mnaenda UGANDA kuvinunua kwa bei rahisi kuliko bidhaa kama mnayoitoa nyinyi
NANI WA KUWALILIA WATANGANYIKA MNIOCHANGANYIKIWA??
 
Wakati Dr Salim Ahmed Salim anataka kugombea urais wa TANZANIA wanafiki CCM na wa KITANGANYIKA walimkatalia kwa kumwambia kwamba yeye ni ((muarabu)) na hana vigezo vya kuwaongoza wa Africa.

Sasa leo hii wanawalazimisha Morocco wajiite wa Africa, wakijisahau kwamba kwao muarabu sio mu Africa.

Ndio maana wanafiki watakua ktk Tabaka la chini Kabisa kabisa la Moto wa JAHANNAM.

Free ZANZIBAR.
 
Back
Top Bottom