Dr. Salim Ahmed Salim(SAS), Mzanzibar aliyeonja machungu ya kiubaguzi ya Watanganyika

Hawa wengine Ni watoto wa juzi hawaiui chochote waliombagua Salim Ni wazanzibar tena waunguja
 

Mkuu, hivi mwaka 1985 ni Watanganyika walimzuia asiwe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Ahsante
 

Hao wanaoitwa CCM Zanzibar unaosema walimnanga Salim ndio mapandikizi wenyewe. Kazi kubwa ni kuwafarakanisha Wazanzibari. Ndani ya CCM wameshika chama na huonekana kama Wazanzibari kumbe ni yoyoyo. Na kule Serikalini ni vivyo hivyo. Wamejipanga kwa kutumia HISTORIA YA ZANZIBAR wanacheza siasa za kibaguzi na kupitisha maamuzi ya kibaguzi ya kiserikali ili Wazanzibari wavurugane wenyewe na wao wanapita kati kati . Ukisikia kamati na jumuiya za maamuzi ndani ya CCM Zanzibar basi zaidi ya asimia 70% za hao wajumbe utakuta ni mapandikizi. Nenda kafanye study kama utazipata utaona vizuri.


Majina na makaazi ni Zanzibar lakini malengo na mikakati iko Bara. Huo ndio ukweli. Na hawa wanafanyia kazi kauli " SERIKALI 2 KUELEKEA 1" Bado kidogo tu malengo yafikiwe.


Zanzibar kuna shida.
 
Ndg uliyeleta uzi hujui siasa za Zanzibar.
Salim H Salim aliheshimiwa saana Tanzania na kweli alifaa kuwa Rais wa Tz 100%.
Walimwangusha ni Wazenji wenyewe.
Kuna wazee Brg Natepe, Mzee Thabit Kombo nk
walimjaza Mwl Nyerere maneno kuwa Salim ni wa Oman.
Wakambwaga Nec ya CCM.
Wabara unawaonea hawakuhusika, tuliza munkali ndg!!
 
Kwa kweli inauma sana lkn tuna deni kwa kizazi chetu kama tutaendelea kukubaliana na udhalimu huu
 
Wazanzibar Wana matatizo Sana.
Sisi tunamatatizo sababu tunausema udhalimu wenu mlitaka tuendelee kuwaridhia tuu si ndio?? Ili usituone kwamba tuna matatizo
 
Hivi unafikir zWazanzibar wanashirikishwa ktk mchakato wakutafuta rais wa ZANZIBAR??
Au wa Tangannyika??
 
Nakubaliana na ww kwa asilimia mia
Adui namba moja wa ustawi wa ZANZIBAR MTANGANYIKA aliepo ZANZIBAR
 
Mimi naongea kwa data ww waongea kwa kufikir Dr.Salimu kukataliwa kwa sababu ya rangi yake hilo lipo wazi na limestone si ISSUE ya kufikirika rejea historia kuna watu walikua wakipandishwa kwenye majukwaa na kumu attack wazi wazi na si jambo la siri
 
View attachment 1220641

Hao ndo wazanzibar wanaompenda SAS.

Nyie jamaa wanafiki tu.

(Hilo bango lilipita mbele ya Dr Shein kwenye sherehe ya kitaifa)
Hao waliombagua Salimu bado wanaendelea na dhambi hiyo na wapishi wa yote ni Men from Tangannyika
 
Wapinzani wa Salim ktk kinyanganyiro hicho ndio waliofanya hayo wakisaidia na vijana wa propaganda toka Lumumba
 
Dega, mimi mwenyewe siupendi kabisa muungano huu wa kinyonyaji dhidi ya Tanganyika. Lakini Dr Salim A Salim alibaguliwa na WaZanzibari wenzake wala si waTanganyika . Salim anaheshimika Tanganyika zaidi Zanzibar ambako ni asili yake . Salim alikwezwa zaidi na Nyerere kuliko mwingine yeyote. Chuunguza vizuri
 
Ninadhani historia uijuwayo wewe kuhusu mheshimiwa Salim iko kinyume kabisa. Hebu uliza uambiwe au soma historia ya siasa za ZNZ ndiyo uanze kubwabwaja.
Mwalimu ndiye alikuwa baba yake wa kisiasa na yeye ndiye aliyemlea kisiasa mpaka akafika alipofika . Iweje bara wambague???? Kwani hivi sasa anaishi wapi?????
 
Hivi unafikir zWazanzibar wanashirikishwa ktk mchakato wakutafuta rais wa ZANZIBAR??
Au wa Tangannyika??
Katika kutafuta Rais wa Zanzibar, Wazanzibari ndiyo wanaochagua na si kushirikishwa tu. Kuhusu Tanganyika, nchi hiyo ilikufa tarehe 26 Aprili 1964. Hivi sasa hakuna nchi hiyo na hakuna uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo. Kwa nchi ya Tanzania, Wazanzibari have a big say katika mchakato wa Rais wa nchi hiyo. Kama nilivyofafanua katika bandiko langu unalolijibu, Salim ndiye angemrithi Mwalimu katika Urais badala ya Mzee Mwinyi kama kauli ya Zanzibar isingekuwepo.
 
Porojo nyingi hakuna cha maana.uko radhi uone hata mtu anatoka arabuni aje kuwa rais kisa imani yako.bure kabisa!
 
Hao tulishawazoea kulialia ni stahili yao ya maisha wanashindwa kupambana ukiwauliza mnataka nini ? Hawa cha kusema. Mmezuiwa nini msifanye kwa sababu ya uzanzibar wenu , kazi kuvaa misuli na maneno hawapishani na wanawake, tena wanawake wa zanzibar wana akili kuliko midume mingi. Anyway Endeleeni kulia
 
Nani analia??hatutokupigia magoti kamwe mtanganyika usietosheka na kile ulichopewa na Mungu kama mirasilimali yote uliyonayo bado unanuka umasikini mpka kwenye kope nitaanzaje kukulilia km makilomita ya mraba uliyonayo hayakutoeni ktk umaskini mnakuja kuturamba nyayo tuwaajir kuchimba mitaro tutaanzaje kuwalilia km Mganda anatoa vitu bandari ya Dar kisha mnaenda UGANDA kuvinunua kwa bei rahisi kuliko bidhaa kama mnayoitoa nyinyi
NANI WA KUWALILIA WATANGANYIKA MNIOCHANGANYIKIWA??
 
Wakati Dr Salim Ahmed Salim anataka kugombea urais wa TANZANIA wanafiki CCM na wa KITANGANYIKA walimkatalia kwa kumwambia kwamba yeye ni ((muarabu)) na hana vigezo vya kuwaongoza wa Africa.

Sasa leo hii wanawalazimisha Morocco wajiite wa Africa, wakijisahau kwamba kwao muarabu sio mu Africa.

Ndio maana wanafiki watakua ktk Tabaka la chini Kabisa kabisa la Moto wa JAHANNAM.

Free ZANZIBAR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…