Dr. Salim Ahmed Salim(SAS), Mzanzibar aliyeonja machungu ya kiubaguzi ya Watanganyika

Morroco kama sio waafrika kombe la dunia wangeenda kufuzu uarabuni kilichowafanya wafuzu kupitia CAF ni nini?
 
ardhi ya zanzibar hipo africa sio ya waarabu ni wandengereko wa congo
 
Shida unawasumbua udini na elimu ninyi hadi mnaona wabara sio watu na waarabu ndo ndugu zenu
 
Ila shishangai akili zenu zilivo hata humu jf mvaa kobazi mwenye akili ni adriz,jodar wengine asilimia kubwa mnaishia kutukana watu mashoga
 
Shida unawasumbua udini na elimu ninyi hadi mnaona wabara sio watu na waarabu ndo ndugu zenu
Wamejaza bara kama sisimizi magomeni,kigamboni,mbagala wanaishi safi kabisa wewe mtanzania bara nenda kwao uone wanavyokutenga
 
Nakuleta vurugu kwa wenyeji eti hakuna kufuga nguruwe
 
Sentence ya Mwisho ndio ulikua ujumbe wake, lakini alikua cautious ili asiwaharibie wapemba waliojazana Kariakoo...Pia jamaa si mbaguzi tuu pia anawahita Watanganyika ni wachafu ,wamepereka harufu mbaya na lafudhi mbaya Zanzibar. Binafsi post kama hii inaniambia ni nini kinaendelea kwenye jamii yake, huyu Kawa na guts ya kuandika lakini walio wengi ndio waliyonayo moyoni kuhusu Tanganyika...Hii Chuki inakua kila kukicha... nadhan kuna haja ya kufanya referendum ili tuamue kama muungano huu unafaa au la...manake nimeshaona post nyingi sana humu za kulaumiana... this has to stop.
 
Kumbe hivi ndivyo ilivyokuwa, nilikuwa nikijua ni wanamtandao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…