DR. Sengati, RC Shinyanga hivi ulikuwa na matatizo gani kuelewa?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594

IMG-20211009-WA0019.jpg

Kuna watu huwa wamesoma sana lakini ni wagumu kuelewa.
Huyu Dr Sengati ana matatizo gani?
Kaonywa lakini haelewi!
Hawa ndio tunaita thick headed!
 
Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine mliowaokota jalalani.

Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.
 
Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.

Hapo suala ni straight forward, unaambiwa na wenzio umekosea, wewe unadinda bila sababu.
Unajikaribishia kula vumbi.
 
Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.

Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.
Hiii katiba inayotafutwa baaada ya viongozi wakuu wa chama chako kugaragazwa kwenye majimbo yao itakuwa katiba ya hovyo kuwahi kutokea duniani kote
 
Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.

Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.
Chadema wenyewe watasikitika Sana wakiona hii comment,maana huko shy wakulima wamenyooshwa hatari.
 
Back
Top Bottom