DR. Sengati, RC Shinyanga hivi ulikuwa na matatizo gani kuelewa?

Kojani Utd 3- 0 Sukuma gang
Na mchezaji wankutumainiwa wa Sukuma gang ametolewa nje kwa red card dakika za mwanzoni tu.

Watapigwa nyingi sana hawa kima washamba .

Mwingine huyu hapa leo kaanyoshwa kisaikolojia.

FB_IMG_1633786350550.jpg
 
Ngapi ngapi huko kati ya Wakojani Utd na Sukuma Gang??
3 - 0! Wakojani wanaupiga mwingi balaa!! Naona ni dk ya 89 sasa, Sukuma Gang wanamzonga mwamuzi wakimhisi kupendelea Wakojani!!

Ni hatari ndugu wapenzi wasikilizaji. Miaka 5 mfululizo Sukumagang walichukua ubingwa wa ligi kuu. Ila safari hii naona matumaini ya kutetea ubingwa wao, yanazidi kupotea.

Kwako Mwalimu Kashasha (RIP)
 
Mbona kama hii ya mh. Bashe ni ya siku nyingi tu. So unataka kutuaminisha km ndiyo imepelekea kutenguliwa kwake!!!? Nadhan kutakuwa case tofaut na hii kumhusu japo sijui ni nini hasa. Mamlaka ni vzr mnapotengua mtueleze na sabb iliyopelekea mhusika kutenguliwa,vinginevyo mnatuachia nafas ya kuhisi hata yasiyokuwepo.
Unaeza uone watu wanaacha hoja wanakimbilia eti "Sukuma gang"!!!
 
Hiii katiba inayotafutwa baaada ya viongozi wakuu wa chama chako kugaragazwa kwenye majimbo yao itakuwa katiba ya hovyo kuwahi kutokea duniani kote
Waligaragazwa na TISS na Polisi kwa kura bandia kwenye mabegi.
 
3 - 0! Wakojani wanaupiga mwingi balaa!! Naona ni dk ya 89 sasa, Sukuma Gang wanamzonga mwamuzi wakimhisi kupendelea Wakojani!!

Ni hatari ndugu wapenzi wasikilizaji. Miaka 5 mfululizo Sukumagang walichukua ubingwa wa ligi kuu. Ila safari hii naona matumaini ya kutetea ubingwa wao, yanazidi kupotea.

Kwako Mwalimu Kashasha (RIP)
Dakika super Benard Membe Jasusi mbobezi anaingia kwa upande wa timu ya Wakoyani.

Sukuma gang wamepoteana hapa. [emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732]
 
Na mchezaji wankutumainiwa wa Sukuma gang ametolewa nje kwa red card dakika za mwanzoni tu.

Watapigwa nyingi sana hawa kima washamba .

Mwingine huyu hapa leo kaanyoshwa kisaikolojia.

View attachment 1969367
Phds wa kiukweli wote wanang'olewa wanawekwa wenye ujuzi wa kupiga hela ya umma 😂😂😂😂😂😂
 
Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.

Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.
Umemsikiliza bashe vizuri??
 
Na mchezaji wankutumainiwa wa Sukuma gang ametolewa nje kwa red card dakika za mwanzoni tu.

Watapigwa nyingi sana hawa kima washamba .

Mwingine huyu hapa leo kaanyoshwa kisaikolojia.
Mdogo mdogo mpk watapoteana
 
Mbona kama hii ya mh. Bashe ni ya siku nyingi tu. So unataka kutuaminisha km ndiyo imepelekea kutenguliwa kwake!!!? Nadhan kutakuwa case tofaut na hii kumhusu japo sijui ni nini hasa. Mamlaka ni vzr mnapotengua mtueleze na sabb iliyopelekea mhusika kutenguliwa,vinginevyo mnatuachia nafas ya kuhisi hata yasiyokuwepo.
Unaeza uone watu wanaacha hoja wanakimbilia eti "Sukuma gang"!!!
Mkuu hapo ina maana RC aliendelea kudinda.
Bashe na Waziri Kilimo walishaonya muda sasa.
Huyu aliachwa ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe.
 
Mbona kama hii ya mh. Bashe ni ya siku nyingi tu. So unataka kutuaminisha km ndiyo imepelekea kutenguliwa kwake!!!? Nadhan kutakuwa case tofaut na hii kumhusu japo sijui ni nini hasa. Mamlaka ni vzr mnapotengua mtueleze na sabb iliyopelekea mhusika kutenguliwa,vinginevyo mnatuachia nafas ya kuhisi hata yasiyokuwepo.
Unaeza uone watu wanaacha hoja wanakimbilia eti "Sukuma gang"!!!
Kwa hiyo ulitaka utenguzi ufanyike mara baada ya press hii!
 
Aisee, hata kama alikuwa na mtazamo tofauti na Wizara ya Kilimo si angejibu barua zao akionyesha mtazamo wake na wangeshauriana na kufikia muhafaka.

Kukaa kimya kwake kumempoza.
 
Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.

Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.
Asante Sana, utumwa ndiyo jadi yetu. Tuwa ajabu
 
Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.
Ila bwana kuna wasomi wengine vimeo. Nikikumbuka zama za TFDA nautoaji majibu ya upumuaji wa ubora wa bidhaa nachoka sana! Nadhani ndiyo maana ili vurugwa!
 
Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.

Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.
Ni ujinga kufikiri hivyo.
Huyu jamaa alikuwa hajui yuko pale kwa sababu gani ilhali yeye si mhimili.
Serikali inaendeshwa kwa collective responsibility.
 
Back
Top Bottom