Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Na mchezaji wankutumainiwa wa Sukuma gang ametolewa nje kwa red card dakika za mwanzoni tu.Kojani Utd 3- 0 Sukuma gang
3 - 0! Wakojani wanaupiga mwingi balaa!! Naona ni dk ya 89 sasa, Sukuma Gang wanamzonga mwamuzi wakimhisi kupendelea Wakojani!!Ngapi ngapi huko kati ya Wakojani Utd na Sukuma Gang??
Waligaragazwa na TISS na Polisi kwa kura bandia kwenye mabegi.Hiii katiba inayotafutwa baaada ya viongozi wakuu wa chama chako kugaragazwa kwenye majimbo yao itakuwa katiba ya hovyo kuwahi kutokea duniani kote
View attachment 1969340
View attachment 1969343
Kuna watu huwa wamesoma sana lakini ni wagumu kuelewa.
Huyu Dr Sengati ana matatizo gani?
Kaonywa lakini haelewi!
Hawa ndio tunaita thick headed!
Dakika super Benard Membe Jasusi mbobezi anaingia kwa upande wa timu ya Wakoyani.3 - 0! Wakojani wanaupiga mwingi balaa!! Naona ni dk ya 89 sasa, Sukuma Gang wanamzonga mwamuzi wakimhisi kupendelea Wakojani!!
Ni hatari ndugu wapenzi wasikilizaji. Miaka 5 mfululizo Sukumagang walichukua ubingwa wa ligi kuu. Ila safari hii naona matumaini ya kutetea ubingwa wao, yanazidi kupotea.
Kwako Mwalimu Kashasha (RIP)
Phds wa kiukweli wote wanang'olewa wanawekwa wenye ujuzi wa kupiga hela ya umma 😂😂😂😂😂😂Na mchezaji wankutumainiwa wa Sukuma gang ametolewa nje kwa red card dakika za mwanzoni tu.
Watapigwa nyingi sana hawa kima washamba .
Mwingine huyu hapa leo kaanyoshwa kisaikolojia.
View attachment 1969367
Umemsikiliza bashe vizuri??Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.
Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.
Mdogo mdogo mpk watapoteanaNa mchezaji wankutumainiwa wa Sukuma gang ametolewa nje kwa red card dakika za mwanzoni tu.
Watapigwa nyingi sana hawa kima washamba .
Mwingine huyu hapa leo kaanyoshwa kisaikolojia.
Alijifanya mbabe na mjuaji kama Prof. Assad! Ahahahahahahah!!!Hapo suala ni straight forward, unaambiwa na wenzio umekosea, wewe unadinda bila sababu.
Unajikaribishia kula vumbi.
Mkuu hapo ina maana RC aliendelea kudinda.Mbona kama hii ya mh. Bashe ni ya siku nyingi tu. So unataka kutuaminisha km ndiyo imepelekea kutenguliwa kwake!!!? Nadhan kutakuwa case tofaut na hii kumhusu japo sijui ni nini hasa. Mamlaka ni vzr mnapotengua mtueleze na sabb iliyopelekea mhusika kutenguliwa,vinginevyo mnatuachia nafas ya kuhisi hata yasiyokuwepo.
Unaeza uone watu wanaacha hoja wanakimbilia eti "Sukuma gang"!!!
Kwa hiyo ulitaka utenguzi ufanyike mara baada ya press hii!Mbona kama hii ya mh. Bashe ni ya siku nyingi tu. So unataka kutuaminisha km ndiyo imepelekea kutenguliwa kwake!!!? Nadhan kutakuwa case tofaut na hii kumhusu japo sijui ni nini hasa. Mamlaka ni vzr mnapotengua mtueleze na sabb iliyopelekea mhusika kutenguliwa,vinginevyo mnatuachia nafas ya kuhisi hata yasiyokuwepo.
Unaeza uone watu wanaacha hoja wanakimbilia eti "Sukuma gang"!!!
Asante Sana, utumwa ndiyo jadi yetu. Tuwa ajabuMsomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.
Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.
We Ni mtumwa, anasimamia anachokiaminiHapo suala ni straight forward, unaambiwa na wenzio umekosea, wewe unadinda bila sababu.
Unajikaribishia kula vumbi.
Actually jamaa ni mjinga, probably kama wewe.We Ni mtumwa, anasimamia anachokiamini
Ila bwana kuna wasomi wengine vimeo. Nikikumbuka zama za TFDA nautoaji majibu ya upumuaji wa ubora wa bidhaa nachoka sana! Nadhani ndiyo maana ili vurugwa!Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.
Ni ujinga kufikiri hivyo.Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.
Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.