DR. Sengati, RC Shinyanga hivi ulikuwa na matatizo gani kuelewa?

Acha kudanganya wajinga wenzako mbona Sabaya anakinywea kikombe peke yake?
Sabaya alikuwa jambazi la serikali.
Nafiki una akili ya kutosha kuelewa kuwa Dr Sengati hawezi kushitakiwa kijinai.
 
Ujinga zaidi ni kumpa cheo anayejitambua halafu unategemea afanye majukumu yake kwa kukupendeza wewe.
Boss naona unajishaua shaua.
Mtu hapewi madaraka kwa jinsi anavyojisikia, ama sivyo kina Bashite wangekuwa bado wapo.
 
Sabaya alikuwa jambazi la serikali.
Nafiki una akili ya kutosha kuelewa kuwa Dr Sengati hawezi kushitakiwa kijinai.

Fedha alizo iba kwenye huo ujambazi akikusanya kuipelekee serikali ama akitia kibindoni yote?
 
Boss naona unajishaua shaua.
Mtu hapewi madaraka kwa jinsi anavyojisikia, ama sivyi kina Bashite wangekuwa bado wapo.
Hata mimi kujisikia sijawahi kukuona kwenye CV, nachokiona kwenye CV miaka yote ni elimu ya mhusika, na experience, sio collective responsibility, wacha kukariri majibu.
 
Lakini sasa Rc wa Shy mpya ni Kisu kweli kweli, sijui katolewa Unguja sehemu gani?
 
Hata kujisikia sijawahi kukuiona kwenye CV, nachokiona kwenye CV miaka yote ni elimu ya mhusika, na experience, sio collective responsibility, wacha kukariri majibu.
Kama CV ni kiboko hata mwendazake mwenye Phd ya kemia angekuwa bado prezidaa na akitembea kifua mberee!
 
Hata mimi kujisikia sijawahi kukuona kwenye CV, nachokiona kwenye CV miaka yote ni elimu ya mhusika, na experience, sio collective responsibility, wacha kukariri majibu.
Wajinga mko wengi.
Ujinga ni kutojua, siyo tusi.
Na wewe hujui lolote katika kitu inaitwa Public Administration.
 
Unachosema kina mantiki mkuu, lakini ukishauriwa tena officially ili kuondia kero za wananchi si unatekeleza?
Mkuu wa mkoa si himaya binafsi.
 
Actually jamaa ni mjinga, probably kama wewe.
Hivi alitaka apewe maagizo na nani dio atekeleze!
Enzi za one man show ziliisha na mwendazake, sasa ale jeuri yake.
Jinga ni wewe ambaye ni mtumwa wa tumbo! Unaona kabisa kuwa wewe kula ndicho kilichokuleta duniani! eti atakula jeuri yake! Nonsense! Ataishi kama wewe unavyoishi kwani una nini cha zaidi? atakula ugali na bamia kuliko kula cake kwenye utumwa wa samia!
 
Bado sijaona point yako.
In the meantime RC jeuri sasa anahama mkoa kurudi alikotoka.
 
Wazamini wanatuvuta Shati .uwasikilize wazamini wetuu
 
Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.

Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.
Siyo kujipendekeza

Unawaumizaje wakulima kwa tozo zilizoondolewa kisheria?

Achunguzwe vyeti vyake
 
Mpare huyoo wa Gonjaaa

Zamani miaka ya 80 mwanzoni kwenye Ikulu ndogo/state lodge mkoani nilipokulia kulikuwa na cheo cha mama ikulu. Wakati flani akaletewa gari sawa na la Mkuu wa Mkoa na Katibu wa CCM mkoa. Basi nikawa na wambia wasichana tuliokuwa na shuleni jitahidi mjue masomo wanayo somea mama ikulu na nyie msomee hiyo kazi. Hiki cheo sijui kama bado kipo au la?
 
View attachment 1969340
View attachment 1969343
Kuna watu huwa wamesoma sana lakini ni wagumu kuelewa.
Huyu Dr Sengati ana matatizo gani?
Kaonywa lakini haelewi!
Hawa ndio tunaita thick headed!
Wewe ndio huelewi na ni mgumu kweli kweli,kwani unataka mtu afie madarakani kila kiongozi ana misimamo yake anayoiamini na ndio maana kakabidhiwa madaraka.

Na.ushasema yeye ni.msomi sasa unataka apelekeshwe tu kama ling'ombe yaani kwa sababu kateuliwa anaogopa kutenguliwa.

Uteuzi ni matwaka ya mteuaji hata umlambe lambe akiamua anakubwaga tu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kojani Utd 3- 0 Sukuma gang
Kweli si hata njiwa kaandikwa Kojani na hata kapokelewa huko kwenye uwanja wa kojani badala ya uwanja tuliouzoea, endeleeni hivyo pa kulala tutahamia kojani.
 
Kojani Utd 3- 0 Sukuma gang
Kweli si hata njiwa kaandikwa Kojani na hata kapokelewa huko kwenye uwanja wa kojani badala ya uwanja tuliouzoea, endeleeni hivyo pa kulala tutahamia kojani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…