DR. Sengati, RC Shinyanga hivi ulikuwa na matatizo gani kuelewa?

Nyie wajinga wajinga inabidi tuwadhamini mkasome Public Administration Mzumbe.
 
Unatuuliza tena sisi kuhusu uwepo wa cheo hicho?

Tueleze wewe, hata kama "mama ikulu" alishastaafu hawezi kushindwa kujuwa uwepo wa nafasi hiyo hadi leo.
 
Sasa Kama alishaambiwa ayaachie kwanini aliendelea kukaidi?
 
Kumbe namshauri empty set wa Mzunbe PA.
Nikajua napiga punch lines na class from Kent. Atamia siasa tu bwa shee na kujipendekeza ili uingize siku

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha!
Nyie ambao elimu imewapita mbali mna matatizo ya kisaikolojia na hamjifahamu.
Mzumbe ni kwa elimu ya Utawala.
Siye entreprenuers tunajua mahali pa kupata appropriate and quslified staff kwa vile tuna a wide knowledge.
Najua nikitaka a qualified Quantity Surveyor wa ku value mali zangu najua lazima atoke Ardhi University.
Nikitaka Engineer wa ofisini najua nitampata UDSM.Engineer wa site najua nitampata DIT au MUST.
Sasa ninyi vilaza wa mujini mnafikiri mradi mtu ana Phd basi anaweza kuwa mkuu wa mkoa.
Tha guy performed dismally na pamoja na kuwa academically equiped, performance yake ilikuwa very poor.
Hawa ndiyo academics wanao cram results.
Mimi tena ni ligi ingine, kwako utakosa seat kuingia uwanjani.
 
Sawa tuu apishe wengine nao wale,saingine mtu amechoka kutumwa na mwanamke
 
Acha kulinganisha Prof Assad na utopolo wewe, unamjua Assad wewe??
Assad ni utopolo tu; mpenda sifa anayejidai kujua kukagua vitabu vyote vya serikali ilihali kazi hiyo hufanywa na watu wengine kabisa.
 
Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.

Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.

Wapi ambapo kwenye Siasa bila kujipendekeza utatoboa. Wapi mkuu. Katiba Mpya ipi itaweka kipengele cha kutojuana kwenye Siasa. Tupo nje huku miaka bila Vitamin B kwenye Siasa hupenyi. So katiba mpya itafute Ila sio solution ya mambo ya vyeo vya uteuzi. Duniani koteeee.
 
Waligarazwa na zile kura za kwenye mabegi meusi, kuamini kugaragazwa kwa aina hii ni dalili za mtindio wa ubongo.
Mabegi si mliyabeba nyinyi halafu mkajifanya kujichukulia sheria mkononi mlivyofeli saaana lile igizo lenu.
 
Kweli aseee kojani vs sukuma gang..Dr Sengati alillewa kiburi cha sukuma gang....
 
Na mchezaji wankutumainiwa wa Sukuma gang ametolewa nje kwa red card dakika za mwanzoni tu.

Watapigwa nyingi sana hawa kima washamba .

Mwingine huyu hapa leo kaanyoshwa kisaikolojia.

View attachment 1969367
Sasa kwa hivi move naona nafeli waliona wamewaweza kwa kuwahamisha

Maana wote wanaowachukia wapo kamati moja
 
Wewe
Huna ukijuacho,

Yaani waziri unamfananisha na mkuu wa mkoa?

Kwamba wote wana renki sawa?

Mkuu wa mkoa anaingia kwenye kikao cha baraza la Mawaziri?

Mkuu wa mkoa eneo lake la utawala ni la Nchi nzima kama alivyo waziri au mamlaka yake yanaishia kwenye mkoa wake tu? Mkuu wa mkoa anaweza akatoa amri ikatekelezwa nchi nzima au inaishia kwenye mkoa wake tu?

HEBU FUTA UHARO WAKO HAPA!!!!
 
Huyo RC atakuwa ni mmoja katika wale wanakikundi cha Polepole,Bashiru na Gwajima hawa kazi yao ni kuvuruga mipango ya Rais Samia ili eti ionekane hawezi kuongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…