Duh! Hujafa hujaumbika. Binadamu tumekuwa wakatili na wakuogopwa zaidi ya simba na fisi. Damu iliyomwagika na roho iliyotoka itawamaliza wengi. Pumzika kwa amani Dr. Mvungi
Very sad
Pumzika salama Mkuu wangu wa Kitivo cha Sheria Dr Mvungi
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yako mahali pema peponi
Poleni sana familia na Tume ya Warioba kwa kuondokewa na mwenzenu
ndugu,jamaa,marafiki na watanzania wote tumehuzunika.kama taifa watawala kuna ufa mkubwa ktk ulinzi,ongezeni bajeti ya ulinzi.punguzeni magari ya kifahari,ongezeni magari,vipuri na mafuta kwenye ulinzi.sasa watu muhimu wanadhuliwa kina sisi je? mnaona fahari,kuonesha mapanga yalioua, badala ya bunduki , mbwa ,farasi, na askari waliozuia mauaji.hakika taifa lina mashetani.kiongozi unashupaa kuonyesha mapanga?