TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

Pumzika kwa amani DR Mvungi, umelipigania Taifa hili lipate katiba mpya, itapatikana ukiwa huko nasi, Mwenyezi Mungu akupumzishe kwa amani. Amin
 
Jamani Dr mvungi..umepata mate so maumivu makali sana MUngu ndiye muweza ya yote. Aipe faraja familia yako
 
innalilah wa ina illah rajoon....mwanga wa milele ukuangazie...!!r.I.p
 
Duh! Hujafa hujaumbika. Binadamu tumekuwa wakatili na wakuogopwa zaidi ya simba na fisi. Damu iliyomwagika na roho iliyotoka itawamaliza wengi. Pumzika kwa amani Dr. Mvungi
 
RIP Dr Mvungi, you are the martyr of our new constitution
 
Very sad
Pumzika salama Mkuu wangu wa Kitivo cha Sheria Dr Mvungi
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yako mahali pema peponi
Poleni sana familia na Tume ya Warioba kwa kuondokewa na mwenzenu
 
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehem Dr. Mvungi
 
Very sad sana, kama ni kweli apumzike kwa amani.
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
 
ndugu,jamaa,marafiki na watanzania wote tumehuzunika.kama taifa watawala kuna ufa mkubwa ktk ulinzi,ongezeni bajeti ya ulinzi.punguzeni magari ya kifahari,ongezeni magari,vipuri na mafuta kwenye ulinzi.sasa watu muhimu wanadhuliwa kina sisi je? mnaona fahari,kuonesha mapanga yalioua, badala ya bunduki , mbwa ,farasi, na askari waliozuia mauaji.hakika taifa lina mashetani.kiongozi unashupaa kuonyesha mapanga?
 
M/Mungu mpokee mja wako na umlaze pahala pema peponi..Amina. inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom