TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

Dr Sengondo Mvungi Is No
More,Taarifa zilizonifikia kutoka
Milpark Hospital Ndg yetu Mvungi
Amefariki,Mnamo Majira ya Saa
Tisa na Nusu.Mungu ailaze Roho ya
Marehemu Mahali Pema Peponi.
 
Inasikitisha sana Dr Mvungi kafariki
RIP Dr
 
R.I.P Dr. Mvungi.


Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
Nimepata taarifa kwamba Dr. Sengondo Mvungi amefariki dunia kutokana na yale majeraha ya kuvamiwa na majambazi, naendelea kufatilia zaidi.

Source: Millard Ayo
 
huzi habari zina ukweli wowote kweli?


Dr Sengondo Mvungi Is No
More,Taarifa zilizonifikia kutoka
Milpark Hospital Ndg yetu Mvungi
Amefariki,Mnamo Majira ya Saa
Tisa na Nusu.Mungu ailaze Roho ya
Marehemu Mahali Pema Peponi.
 
Jeeeeez!!
Are you serious!
Tunaomba habari hii ithibitishwe,!
 
Haaaaa!? Mungu wangu kwanini watu wanasababishia wengine vidonda vya maisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…