TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

From my source inside the Mvungi family, i confirm the news is true. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema.
 
Wananchi wenzangu vituo vidogo vya Polisi mitaani vimegeuka vituo vya kupokea taarifa za uhalifu lakini havina uwezo wa kuzuia uhalifu.

Tishio kubwa la usalama wetu wala si kuvamiwa na taifa jingine bali uhalifu huu wa kufunga mtaa nusu saa watu wanabeba wanachotaka na kuua juu alafu bado tunapuuza tu.Doria ziimarishwe kila mtaa na inawezekana majeshi yote yakishiriki na hasa wananchi wakielimishwa kuanzisha vikundi vya sungusungu kila mtaa.
 
Dr Seng'odo Mvungi. Pamoja na kuwa mate wangu UDSM kwa mwaka mbele lakin wote tulikuwa tukikaa hall No 2. Nimekumbuka sana ucheshi, umahiri wako katika kujenga hoja lakin mwisho kwa kufanya sherehe yako ya kuzaliwa na kutulisha chakula cha wapare (Kishumba). Na siku zote katika uhai wake nilizoea kumwita mzee wa kishumba.

Mola akulaze pahala panapo stahiki.

Dr Hamza
 
R.I.P. Dr. Mvungi. Inauma sana kwani Bado tulikuwa tunahitaji mchango wake katika kazi mbalimbali ndani ya Taifa la TZ na nje ya TZ.
 
Dah kama huyu jamaa amevuta kisa uhalifu basi ulinzi haujakaa poa Hata kidogo
 
Tupeni pole watanzania jamani. Mwenyezi Mungu twaomba umrehemu mja wako. Ndugu Matumbo sijakuelewa bado nadhani kuna la ziada ulitakutuambia hasa ushahidi mkuu juu ya hili jambo tafadhali tuweke wazi nduguzo.
 
Back
Top Bottom