Wananchi wenzangu vituo vidogo vya Polisi mitaani vimegeuka vituo vya kupokea taarifa za uhalifu lakini havina uwezo wa kuzuia uhalifu.
Tishio kubwa la usalama wetu wala si kuvamiwa na taifa jingine bali uhalifu huu wa kufunga mtaa nusu saa watu wanabeba wanachotaka na kuua juu alafu bado tunapuuza tu.Doria ziimarishwe kila mtaa na inawezekana majeshi yote yakishiriki na hasa wananchi wakielimishwa kuanzisha vikundi vya sungusungu kila mtaa.
Dr Seng'odo Mvungi. Pamoja na kuwa mate wangu UDSM kwa mwaka mbele lakin wote tulikuwa tukikaa hall No 2. Nimekumbuka sana ucheshi, umahiri wako katika kujenga hoja lakin mwisho kwa kufanya sherehe yako ya kuzaliwa na kutulisha chakula cha wapare (Kishumba). Na siku zote katika uhai wake nilizoea kumwita mzee wa kishumba.
Tupeni pole watanzania jamani. Mwenyezi Mungu twaomba umrehemu mja wako. Ndugu Matumbo sijakuelewa bado nadhani kuna la ziada ulitakutuambia hasa ushahidi mkuu juu ya hili jambo tafadhali tuweke wazi nduguzo.