TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

R.I.P Dr Mvungi. Hakika mchango wako kwa taifa utakumbukwa daima. Inasikitisha sana
 
Worst News of this Year!
Kama ni kweli Mungu tuhurumie!
Tunaomba habari hii ithibitishwe, au la ikanushwe.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
whaaaaaaaaat????

uuuuwwwwwwwwwiiiiiiiiii jaman Mungu amlaze mahala pema
 
hii nchi imekuwa miongoni mwa nchi hatari kabisa barani africa kuishi, hasa kwa wakosoaji wa serikali wenye msimamo mkali na wasiohongeka...... nasema hivi hakuna wa kuishi milele....... falme zimeinuka na kuanguka......
kuna watawala wanadhani wamezaliwa kutawala wengine, kuwatiisha na kuwasambaratisha wapinzani wao...... Mungu yuko upande wa haki daima...


Raha ya milele umpe ee bwana.. na mwanga wa milele umuangazie.... Upumzike kwa amani DR. Mvungi
 
Hii habari inaukweli wowote jamani? Source ya habari hii ni ipi?
 
Naendelea kuamini yu hai mpaka taarifa zilizo thibitishwa nizipate
 
Back
Top Bottom