TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

Nimeshtuka sana.. Pumzika pema peponi Dr Sengondo Mvungi,Walaaniwe waliosababisha kifo chako.
 
" Dr Sengondo Mvungi Is NO MORE,Allah ailaze Roho Yake Mahali Pema Peponi "From SA Milpark Hospital"." Source: HusseinBashe Tweet todat at 16:51
OMG! This is bad news for Mvungi's family and our Country. What is going on in Tanzania???
 
Last edited by a moderator:
Tumeuchekea Uhalifu na uzembe wa jeshi la Polisi kuimarisha ulinzi hadi yanawatokea hata tusiowatarajia.Kinachouma zaidi sioni kelele za kutaka Polisi wawajibike kwa kushindwa kuimarisha ulinzi ikibidi hata majeshi mengine yatumike kuweka doria.

Kama Dr Mvungi amefariki uwe mwanzo wa kutaka Polisi wawajibike kwa usalama mdogo mitaani.Ujambazi unatokea hata mbezi beach palipo karibu na kambi ya jeshi na watu hata hawajali kabisa.
 
dr sengondo mvungi is no
more,taarifa zilizonifikia kutoka
milpark hospital ndg yetu mvungi
amefariki,mnamo majira ya saa
tisa na nusu.mungu ailaze roho ya
marehemu mahali pema peponi.

r.i.p dr mvungi. Umeacha pengo kubwa sana lisilozibika. Serikali yetu ina jukumu kuu la kujitathmini kuhusu ulinzi wa raia wake. Hakuna serikali bila raia. Inauma sana.
 
" Dr Sengondo Mvungi Is NO MORE,Allah ailaze Roho Yake Mahali Pema Peponi "From SA Milpark Hospital"." Source: HusseinBashe Tweet todat at 16:51

So sad and hard to accept this! If that is the fact then it so sad indeed for the nation.
 
Last edited by a moderator:
Chanzo cha kuaminika kidhibitishe habari hii kabla ya posts za R.I.P
 
ho poleni sana wafiwa , naona hawa jamaa walikuwa na hasira kali sana na inawezekana walimpiga na kasindano ka sumu.
 
Kwa jinsi baadhi ya watu wanavyoandika kwa kejeli, ni wazi waliomuua hawakuwa majambazi......ndo maana polisi wamekamata mapanga lakini laptop haisemwi. Something is very wrong somewhere....
RIP Dk S. Mvungi.....
 
Katiba yetu tayari ina damu!

Hao majambazi ni wa namna gani?

Sio majambazi engineered?

Lazima conspiracy zianzie hapa sasa.
 
RIP ma lecturer, majahili hawa wamekutoa maisha, may your soul rest in eternal peace
 
Back
Top Bottom